Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

Kuliko kumkopesha mshkaji wako Bora umpe tu, mfano anakuombo umkope 500k mpe 100k mwambie huna kitu chukua tu hiyo nimekupa utajazilizia kwingine. Hapo utakuwa umeset mtego hatukuja Tena siku nyingine kukwambia mambo ya kukopeshana
kwa alichokuwa anafanya Dec hastahili kupata mia yangu
 
In short kama watu wangekuwa waaminifu ningefanya biashara ya kukopesha kwa riba, lakini naogopa kuvutana mashati na wabongo
 
Red black 🤣🤣🤣
63f55ddc23e245b098dc6b1d09573015.jpg
 
 
Back
Top Bottom