Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

Hivi ukimkopesha mtu PESA asipokulipa unaweza kwenda kumshitaki? Navyojua Mimi sheria hairusu mtu asiekua na leseni ya biashara ya kukopesha kumkopesha pesa mtu na kwa nchi za wenzetu hiyo ni kesi unafungwa ama kutozwa faini kubwa maana unakua umetenda kosa la uhujumu uchumi. Turudi bongo, hizo kesi hua zinabadilishwa kua wizi wa kuaminiwa angalau hapo unaweza kumfunga mtu otherwise kama ni kesi ya madai tu mtu anaweza kusema atakua anakulipa buku kila siku adi deni liishe afu hela yenyewe uwe unaifata mahakamani. Unatumia usafiri ama mafuta ya Elfu 10 kufata buku mahakamani, hizi ni bangi kabsa. Mtu akitaka kukopa aende bank ama taasisi za kukopesha akaweke bond kitu chake cha thamani wampe hela ashindwe kurudisha kiende mazima agombane na familia yake. Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom