Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
To each their own
Marufuku ni kukopesha kwa riba. Hii ndio mpaka kibali maalum. Ila kuazimana hela baina ya watu hii ni kawaida sio kosa. Unaweza kumshtaki ila ni madai hivyo inasumbua sana. Unaweza kuwa unadai 1m mahakama ikaamua akulipe 10,000 kila mwezi.Hivi ukimkopesha mtu PESA asipokulipa unaweza kwenda kumshitaki? Navyojua Mimi sheria hairusu mtu asiekua na leseni ya biashara ya kukopesha kumkopesha pesa mtu na kwa nchi za wenzetu hiyo ni kesi unafungwa ama kutozwa faini kubwa maana unakua umetenda kosa la uhujumu uchumi. Turudi bongo, hizo kesi hua zinabadilishwa kua wizi wa kuaminiwa angalau hapo unaweza kumfunga mtu otherwise kama ni kesi ya madai tu mtu anaweza kusema atakua anakulipa buku kila siku adi deni liishe afu hela yenyewe uwe unaifata mahakamani. Unatumia usafiri ama mafuta ya Elfu 10 kufata buku mahakamani, hizi ni bangi kabsa. Mtu akitaka kukopa aende bank ama taasisi za kukopesha akaweke bond kitu chake cha thamani wampe hela ashindwe kurudisha kiende mazima agombane na familia yake. Ni hayo tu!
Nakuzingua tu sema nini, mkopeshe Mshikaji huyowapi nimewafokea?
Mshamba sana.Washkaji kama wewe Jau tu.
Bata zenyewe utakuta ni bia hizi hizi za alfu3 na kitimoto cha 15k
alipeleke wapi,,,tuanzie hapa kwanzaasee jamaa umezingua kinouma hili si lakuliieta hapa
Yes,Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu,
Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine View attachment 3531035

Usimpe nakaziasimpi ata mia mbovu
Mbona app za mikopo online zipo nyingi. TuWala sio text ya kipuuzi. Wewe ndio una mawazo ya kipuuzi
Maisha sio adhabu. Kupost status za kura raha ndio umuite mpuuzi. Mbona kuongea vizuri tu na kajipangia riba ya 400k huo ndio uanaume sasa
Wewe kama hautaki kumpa usimpe na acha chuki kwa wanao enjoy maisha yao
Dec sio ya watu dhaifu.nilishajifunzaMaisha baada ya bata ni masikitiko matupu.
Kuna mtu nilimkopa nikamwambia siku. Ukija nitolea mahari tutakatanaOgopa sana mtu anayekopa alafu anatanguliza riba, au anakuambia tutaandikishana!
Marufuku ni kukopesha kwa riba. Hii ndio mpaka kibali maalum. Ila kuazimana hela baina ya watu hii ni kawaida sio kosa. Unaweza kumshtaki ila ni madai hivyo inasumbua sana. Unaweza kuwa unadai 1m mahakama ikaamua akulipe 10,000 kila mweziHivi ukimkopesha mtu PESA asipokulipa unaweza kwenda kumshitaki? Navyojua Mimi sheria hairusu mtu asiekua na leseni ya biashara ya kukopesha kumkopesha pesa mtu na kwa nchi za wenzetu hiyo ni kesi unafungwa ama kutozwa faini kubwa maana unakua umetenda kosa la uhujumu uchumi. Turudi bongo, hizo kesi hua zinabadilishwa kua wizi wa kuaminiwa angalau hapo unaweza kumfunga mtu otherwise kama ni kesi ya madai tu mtu anaweza kusema atakua anakulipa buku kila siku adi deni liishe afu hela yenyewe uwe unaifata mahakamani. Unatumia usafiri ama mafuta ya Elfu 10 kufata buku mahakamani, hizi ni bangi kabsa. Mtu akitaka kukopa aende bank ama taasisi za kukopesha akaweke bond kitu chake cha thamani wampe hela ashindwe kurudisha kiende mazima agombane na familia yake. Ni hayo tu!
Acha roho mbaya weweUsimpe nakazia
Yaani kuna watu Dec walijua kujishaua jamaniMarufuku ni kukopesha kwa riba. Hii ndio mpaka kibali maalum. Ila kuazimana hela baina ya watu hii ni kawaida sio kosa. Unaweza kumshtaki ila ni madai hivyo inasumbua sana. Unaweza kuwa unadai 1m mahakama ikaamua akulipe 10,000 kila mwezi
Acha roho mbaya wewe