Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,322 Reaction score 8,412 Jan 14, 2026 #1 Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
Zuella zuu Senior Member Joined Jan 1, 2026 Posts 184 Reaction score 382 Jan 14, 2026 #2 wanakuja mkuu
SILLENT KILLER 2 JF-Expert Member Joined Jun 12, 2024 Posts 881 Reaction score 1,720 Jan 14, 2026 #3 kwani ww unayo au unauliza tuu...?
JITU BANDIA JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 4,368 Reaction score 9,937 Jan 14, 2026 #4 Chibike said: Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa? Click to expand... Sio kila jiwe la tanzanite lina thamani ya juu....iko tanzanite bei yake inazidiwa hata tourmaline.... Kwa bei ya dhahabu ilipo sasa, na inapoelekea...baada ya miezi 6-8...inaiacha mbali tanzanite! Madini yenye thamani ni Almasi, ambayo hukuyataja..
Chibike said: Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa? Click to expand... Sio kila jiwe la tanzanite lina thamani ya juu....iko tanzanite bei yake inazidiwa hata tourmaline.... Kwa bei ya dhahabu ilipo sasa, na inapoelekea...baada ya miezi 6-8...inaiacha mbali tanzanite! Madini yenye thamani ni Almasi, ambayo hukuyataja..
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 14, 2026 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw