zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

    Wakuu amani iwe nanyi! Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima. Karibuni sana Wakubwa.
  2. Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
  3. Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

    Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao. Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
  4. B

    INAUZWA Tunauza Smart watch na Earpods zake Mpya kwa bei nafuu sana

    Jipatie Smart watch Original leo 1. Smart watch na earpods - unapata smart watch, earpods na mikanda yake saba yenye rangi tofauti tofauti kwa 55,000 tsh th 2. Smart watch mbili na mikanda yake mitano yenye rangi tofauti tofauti kwa 65,000 tsh tu 3. Smart watch na headphone hii na mikanda...
  5. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  6. Ukikutana na your date ambaye yupo tofauti na picha zake anazokutumia utafanyaje?

    Je ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje? Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
  7. Jicho la tatu la kijasusi Israel kurudisha ndege zake nyuma kuto ishambulia Iran

    Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana. Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag. FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible: Credit definition Geogle Walicho...
  8. M

    Mdogomdogo maji na mafuta yanaanza kujitenga, Yanga anacheza mechi zake kibingwa na ndiye bingwa mtarajiwa!

    Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa! Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na...
  9. Tamanio la ME ni kuzifikia Sexual Fantasies zake na KE ni kuzifikia Beauty Fantasies zake. Ili zifanikiwe, kila mmoja atategemea kum-exploit mwenzake.

    Hahaha Ukitaka kujua jinsi gani akili ya kijana wa kiume ni chafu ebu fungua uzi wa "ipi ni sexual fantasy yako?" Ukitaka kujua hatua mwanamke anaweza kufika kwa ajili tu ya urembo wake ebu fuatilia mnyororo wa pesa zinapotoka kupelekea dogo wa kike wa 2004 kumiliki "i phone 16" . Vitoto...
  10. Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

    Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa. Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
  11. E

    Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  12. N

    Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
  13. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  14. Nawakumbusheni Wanaume, Usimpende Wakati wa Shida zake, ukajua umeokota Dodo

    Salaam Wanaume Wenzangu mnaosoma huu Uzi. TAFADHALI: Hii ni kwa ajili ya Men, wanawake wa jamii forum msipite hapa tuna kikao. Kile Kikao cha Wanaume leo tena kipo hapa. ⚠️⚠️⚠️CAUTION: USIMPENDE MWANAMKE NA KUMZIMIKIA ETI KISA KAJA KWAKO AU KAKUFUATA ANAKULILIA SHIDA ZAKE, AU KAVURUGWA ZAKE...
  15. Acheni Kuzuga hapa Wote mlimpenda kwa Tamaa zenu za Hela zake na baada ya 'Kuwatifua' na kuona hamna Jipya akawaacha na leo mnajifanya kuwa Marafiki

    Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava, Harmonize baada ya kukutana katika pati la siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Leah Richard ‘Lamata’. Wawili...
  16. Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

    Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
  17. Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  18. Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  19. Waziri Dkt. Selemani Jafo: Naipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
  20. Je, ni mimba imeharibika au ni mzunguko wake (period) imekuja kivingine

    Ndugu zangu salaam Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka tarehe 15/08/2024 kwa sababu tulikua tunataka mtoto. Alitarajia kuona siku zake tarehe 05/09/2024 ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…