zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Bosi wa zamani wa UDA ashtakiwa kwa kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. Bilioni 14

    Ni Mfanyabiashara Simon Masumbuko Bulenganija aliyefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akikabiliwa na mashtaka 3 ambayo ni Kughushi, Kutakatisha Fedha Haramu na Kuisababishia Serikali Hasara ya Tsh. 14,088,983,873. Katika Shtaka la Kughushi, Oktoba 1, 20211 Simon anadaiwa...
  2. mwanawao

    Zamani title ya Profesa (PhD) ilikuwa inaheshimika sana

    kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's. Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba! Nimegundua kuwa...
  3. P

    Waziri wa zamani asema January Makamba ameisababishia nchi hasara ya Shilingi trilioni 1.268

    Kwenye mchango wake kwenye hotuba ya bajeti ya Waziri wa Nishati, January Makamba, ya 2023/24 iliyopitishwa na Bunge jana, Waziri wa zamani, Luhaga Mpina, amehoji madudu yafuatayo yaliyofanyika kwenye wizara ya Nishati chini ya Makamba: MKATABA WENYE UTATA WA TEHAMA WA SHILINGI BILIONI 70 BAINA...
  4. KASHAMBURITA

    Mapenzi kweli yalikuepo zamani

    Unakijua kisa cha Leyla na Majnun (mapenzi bikra)? Leyla na Majnun ni kisa maarufu duniani kilichotokea kweli katika Uarabuni, na kwa kisa hiki kimepelekea kutungiwa mashairi mbali mbali duniani. Wengine hukiita kisa hiki kama "Romeo na Juliette wa Mashariki," ni kisa chenye mafunzo kwa...
  5. J

    Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  6. R

    Bravo TANZLII kwa kutengeneza website yenu ambayo ni user friendly kuliko ya zamani

    Si dhambi kumsifia mtu na kumpa pongezi na hongera kwa kazi nzuri. Website ya TANZLII ya sasa ni user friendly kuliko ya zamani. It is easy to search for whatever information you want that is provided by the website Hapa CJ nakupa tono, ila kwingine bado.
  7. Venus Star

    KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
  8. Chachu Ombara

    TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
  9. Poppy Hatonn

    Zamani maisha yalikuwa rahisi; ukibishana na mtu mnakutana watu wawili mnayamaliza

    Lakini hizi njia za kutanzua matatizo zimekuwa out of fashion. Siku hizi watu wamestaarabika au, ndio tunavyofikiri? Tunadhani watu hawagombani siku hizi lakini hakuna kilichobadilika. On the one hand watu wanapigana na marungu kama savages wa zamani au siku hizi wanapigana na silaha za kisasa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwa na haya umekula bingo Kwa Zama hizi

    Salama! Siku hizi nimekua mkubwa, mambo ya kuandika madude marefu nimewaachia wengine. Haya nisipoteze muda. Siku hizi ukiwa na mambo haya basi jua umeula, umelamba dume, umekula bingo. Ni wewe tuu kuamua utoboe au usitoboe. 1. Kujua kingereza au lugha yoyote kubwa kimataifa. Achaneni na kile...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Zamani kupenda haikuwa Haki ya Mwanamke, Mwanamke anahaki ya kupenda pia

    Anaandika, Robert Heriel. Baba. Zamani Mwanamke hakuwa na Haki ya kupenda, hakuwa na Haki ya kuchagua mwanaume WA moyo wake, Mwanaume anayempenda. Mwanamke alikuwa kama kikaragosi tuu kisicho na haki ya kuamua hatma ya Maisha yake katika mahusiano yake. Mwanamke alichaguliwa Mume na akaolewa...
  12. M

    Changamoto ya wahitimu wa zamani (2019 kurudi nyuma) kufanya usaili wa kuandika (written interview) pamoja na wahitimu wapya (2022-2021)

    Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa. Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
  13. Bunchari

    Wazee wa zamani walikuwa na tabia na matendo mabaya na ya ajabu sana

    Habari wakuu,hamjambo? Njlikua na jamaa yangu akinisimulia jambo nikafikiria Sana kuhusu hawa wazee wetu kwa matukio yao Kama ifuatavyo.. Wengine wao walikua na tabia ya kujihusisha kimapenzi na wajukuu,watoto na ndugu wa karibu,kwanini nasema hivyo? Kuna kijana wa kike mdogo na msumbufu...
  14. Teko Modise

    Uzi Maalumu: Picha za wanasoka wa zamani

    Tupia picha yoyote iwe ya zamani inayohusu wasakata kabumbu iwe Tanzania, Africa na hata Ulaya.
  15. Christopher Wallace

    Magwiji wa zamani wa Simba unawajua? Wataje

    Wataje magwiji hawa, na utuambie kama uliwahi kuwaona wakicheza
  16. Balqior

    Huu wimbo wa zamani wa maji yakimwagika hayazoleki, nitaupata wapi?

    Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu... Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu Mwenye kujua kuna la huo wimbo, ulikua popular Kwenye early 2000's
  17. Balqior

    Video ya wimbo huu Wa zamani unaoitwa "chezea mshahara, usichezee kazi" nitaipata wapi

    Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
  18. sanalii

    Huwa napata hisia kali kama vile nilishawahi kuishi huko zamani sana

    Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    Wako wapi wale wasabato wa zamani?

    Nimetoka mkoa wa Mara-Tanzania, sehemu niliyokulia Mimi Kuna wasabato wengi kiasi, Pamoja na dhehebu la menonite ndio wamedominate huko. Kwenye familia yetu mzee wangu sio msabato, Lakini kaka zake na ndugu kiasi ni wasabato. (Mzee wangu alioa wanawake wawili) ni kama Hana tu dini. Nilipokua...
Back
Top Bottom