zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC na Pamba SC afariki dunia

    MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda mrefu, wakalazimika kuita mwenyekiti wa mtaa na kubaini kuwa amefariki. Baadaye polisi walifika na...
  2. KJ07

    Nimeyakumbuka maisha ya zamani

    Salaam wakuu, Aisee nimeyakumbuka maisha ya zamani enzi zile siku za sikukuu kama pasaka na iddi muislamu atamualika mkristo na mkristo atamualika muislamu. Enzi zile kipind cha ramadhani waislamu wanawaalika wakristo katika futari. Enzi zile jirani akiondoka Hana wasiwasi juu ya watoto wake...
  3. P

    Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

    Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out We still don’t know the exact...
  4. The Assassin

    Zumaridi aandike Biblia yake mwenyewe kama walivyofanya manabii wa zamani

    Nabii mfalme Zumaridi anatakiwa kukumbushwa kuandika biblia ama ufunuo wake kama wlaivyofanya manabii wa zamani. Dini hizi tunazoziona sasa zilianza kama ilivyo kwa Zumaridi lakini miaka kadhaa mbele sasa ni jamii kubwa ya waumini wakiamini kilichoandikwa na manabii kama Zumaridi wa huko nyuma...
  5. Nyankurungu2020

    Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

    Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na kuchukua abiria. Mmeandika habari kwa uongo na unafiki. Chato sio Gbolite. Mnatakiwa kufungiwa kwa...
  6. Messenger RNA

    Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

    Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili. Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku...
  7. Makanyaga

    Huu hapa Muziki wa zamani kabisa uliowahi kurekodiwa hapa duniani; ulipigwa mwaka 1440 Kabla ya Yesu kuzaliwa

  8. LA7

    Umewahi kujiuliza hela zikibadilishwa, za zamani hupelekwa wapi?

    Kwa anayefahamu atuelekeze Hapo ukifikiria sana utagundua kwamba pesa ni makaratasi maana hizo pesa haziwezi tena kuja kutumika.
  9. NI MTAZAMO TU

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  10. R

    TAHADHARI: Wahafidhina wapo toka zamani, Kisa cha Abneli mwana wa Neri na Generali Yoabu

    Kwanza nitoe Pongezi zangu Nyingi kwa Viongozi wa Kitaifa akiwemo Mh Rais Samia Suluhu Hassan, rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania. Pongezi zingine ziwaendee viongozi wakuu wa vyama vya siasa Mh Freeman Mbowe na Mh Zitto Zuberi Kabwe. Bila kuwasahau na wananchi wote wenye Mapenzi Mema. Tatu...
  11. Companero

    Jeremiah Kasambala na Lucy Lameck wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara?

    Salaam WanaJF, Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja. Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara pamoja na ya ushirika miongoni mwa jamii? Shukrani, Companero
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni. Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
  13. The Burning Spear

    Zamani matajiri walitoa hela kwa masikini, sasa masikini wanawapa hela matajiri

    Nyakati zimebadilika kwelikweli, zamani mtu masikini alithaminiwa sana na kuonwa mtu wa kupewa msaada lakini sasa hali ni tofauti nahisi ubepari umeptiliza. Karne hii masikini anahenyeshwa kweli kweli siyo serikalini, kanisani wala msikitini matajiri wanazidi kutajirika masikini wanazidi kuwa...
  14. J

    Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    Nimeona heading Kwenye gazeti la Nipashe kwamba kuna kifo cha kutatanisha cha Mfugaji aliyefia Mahabusu Polisi wamedai amejinyonga kwa kutumia Chupi yake Ngoja nilisake gazeti nilete habari yote! --- MFUGAJI aliyetambulika kwa jina la Samweli Bulunde, anadaiwa kufariki dunia baada ya...
  15. Sambinyakwe kitololo

    Hizi simu mpya za zamani Ni refurbished au

    Za muda huu wakuu Nimekuwa nikiona simu mpya brand Kama iPhone , mfano iPhone 8 mpya full box mtu kapewa zawadi ..nilijaribu Google naona Ni simu ya muda Sana Je Ni refurbished hizo simu au zilitengenezwa nyingi Sana au vp iweje Hadi leo mtu anapata iPhone 7 mpya Vipi kuhusu ubora wake...
  16. Dr am 4 real PhD

    TBT: Unadhani vijana wa zamani walikua pamba kali kuliko sasa?

    Hivi ni kwa nini baadhi ya vijana hupenda kuvaa mlegezo?
  17. I

    Naombeni ngoma ya zamani ya Bugz Malone ft D Rob

    Wadau habari.Kuna ngoma YA zamani sana aliimba Bugz Malone na D Rob.Bugz alikuwa anachana kingereza D Rob alipita na chorus YA kiswahili.Ngoma hii naitafuta sana,mwenye nayo afanye kushare
  18. H

    Hivi haiwezekani kuipata Ile screen ya zamani ya if nimeimic Sana

    Habari za Mwaka mpya Hii feature mpya bado inanichanganya tu hata huwa sijui naanzia wapi natokea wapi naishi wapi yaani naishi ishi tu kwa mazoea humu . Yaani kungekuwa na option ya kuchagua anaetaka kwenda Kaanani au kubaki Misri mi ningechagua kubaki Misri Kula matango na matikiti na nyama...
  19. BARD AI

    Kutunza vitu vya zamani au chakavu ndani ni Ugonjwa wa Akili?

    Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata shida wakati wa kuviondoa. Mtu mwenye Ugonjwa huu hutunza vitu kama Magazeti ya zamani, Bidhaa za...
  20. Intelligent businessman

    Zifahamu adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa zamani

    Salaam wakuu, Leo katika historia nimeamua niwafahamishe baadhi ya adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa enzi hizo. Brazen bull; hii ni adhabu ambayo ilivumbuliwa na bwana mmoja aliyeitwa perilaus kutoka katika nchi ya wagirikiadhabu hii ilihusisha kifaa kilichokuwa kimetengenezwa...
Back
Top Bottom