Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa.
Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...