Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia.
Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..!
Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo...
Zanzibar Imekuwa Ikitumika Kama Njia Ya Biashara Hii kwa Kutumia Kipengele Cha Ajira Nje. Ya Nchi Ambapo Baadhi ya Watu husafiri Kwenda Nchi Kwa Ajira Ya Kutafuta Ajira.
Na Husafiri Bila Kuwa Na Mkataba Wa Ajira Ambao Umethibitishwa Na Ofisi na Ofisi za Kibalozi za Nje ya Nchi ya Yetu.
Mwaka...
Mitandio ya cotton na Mpira plain inapatikana
Cotton bei ya rejareja sh 8000, bei ya jumla sh 7000 kuanzia mitatu.
Mpira plain imebaki miwili, bei yake kila moja sh 5000.
Mawasiliano 0784 829565
Jamhuri ya muungano.
Katika moja na mbili nikakutana na kijana anayeishi upande huu wa pili wa shilingi (Zanzibar), akiwa mnyonge sana, mdomo mkavu mithili ya dagaa wa nyasa waliokaushwa, kichwa kingali kimevurugwa kiasi, akasema "natamani Oral interview ifanyiwe huku pia. Nikamuuliza "why...
Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo amewahasa wanaofahamu vyema manufuaa yaliyopo kuendelea kuwaelimisha wengine hususani vijana ili waweze...
Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake.
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
Wakati wimbi la utekaji likiwa limeshika kasi Tanganyika, hali ni tofauti kwa jirani yake, Zanzibar.
Zanzibar kumetulia . Zanzibar hakuna utekaji.
Nini siri ya Zanzibar kuendelea kuwa katika amani hata kipindi ambacho jirani yake, Tanganyika, inakabiliwa na maswaiaba ya watu kutekwa na hata...
Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa kutoa ahadi za mapumziko ya kifahari kwa raia wa Poland, ambazo ni za uongo
Mamlaka za ndani zimedai...
Muhammad Abdallah Kaujore
Tarehe 9 Septemba 1964, Kaujore aliua watu msikitini katika hali ya kuwa alikuwa amelewa akitokea kwenya baa moja karibu na Marikiti.
Kaujore hakuhukumiwa na aliendelea kuwa Memba wa Baraza la Mapinduzi.
Siku za za mwisho wa maisha yake alipata wazimu lakini badala...
Wengi hawajui kama Zanzibara hasa Unguja iliwahi kuwa na usafiri wa reli iliyojengwa mwaka 1905. Sauti na mlio wa treni hiyo ilipokuwa ikipita ikazaa jina bububu.
Barabara katika eneo la Bububu.
Hivyo bububu ni tanakali sauti yaani jina linalotokana na sauti ya kitu. Kama ilivyo sauti nyau...
Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi).
Uzi tayari.
Guinea 1-2 Kizimkazi
FT
Chato Samia Cup yasaini mkataba wa ushirikiano na Suluhu Academy ya Kizimkazi Zanzibar
Kituo Cha michezo Cha Suluhu academy kutoka visiwani Zanzibar (kizimkazi) kimesaini mkataba wa kushirkiana na taasisi ya Chato Samia cup iliyoko wilaya chato Mkoani Geita kwaajili ya kuibua vipaji na...
ZANZIBAR kuwa na mkurugenzi wake wa Idara nyeti kama usalama wa taifa ni wazi kuwa Zanzibar wako makini sana na nchi Yao. Ni sharti katika sheria ya usalama wa taifa kwamba kutakuwa na mkurugenzi na naibu mkurugenzi ambaye lazima awe mzanzibar. Hivi Kuna mtu anawaza usalama wa Tanganyika DHIDI...
Muswano mdau.
Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini.
Nchini Zanzibar, serikali ya mapinduzi Zanzibari iliwahi kupiga marufuku uagizaji na kuingiza mazao na miche...
Welcome to Zanzibar. Zanzibar is an island of coral origin. It forms coral limestone. Today we look at the eastern coast of the island, where this limestone created a small island that is subject to erosion and a spectacular spectacle. Welcome to the next sequel of the Geocache AGT series...
Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar.
Wakati awali Karume alikuwa makamu wa Rais, leo Zanzibar ina Rais kamili na ina makamu wako. Na hiki ndicho chanzo cha...
Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.