Wanabodi
Kuna baadhi ya maneno hiku Bara yanatamkwa vingine na Zanzibar vingine mfano neno Shule kwa huku bara, kwa Zanzibar zinaitwa skuli.
Sikuwahi kujiuliza Kwanini, ila leo ndio nimejua kwanini bara zinaitwa shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli.
Kupitia live Mubashara ya TBC kwenye...
Jeshi la Polisi Zanzibar limewatahadharisha na kuwaonya baadhi ya viongozi wa siasa kuacha kutumia uhuru wa kujieleza kwa kutoa kauli za kebeghi kwa viongozi jambo ambalo linaingilia faragha ya mtu na kuhatarisha uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar
Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya...
Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa.
Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini.
Soma Pia...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024...
Samaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo...
Hoja.
Hiyo sio hoja ya msingi bwana RC yaani huyo Mke wa mtalii ni mpumbavu kiasi gani Hadi aone beach Boys ni WA Maana kuliko mumewe?
Mambo Private Serikali haitakiwi kuingilia ,yaachwe kama yalivyo
=================
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Ayoub Mohammed Mahamoud...
Habari za mida hii? Natumaini yangu wote hamjambo.
Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa zanzibar maana huku bara bei zake ziko juu sana ase mapaka kero.
Mashine hasa ninayotaka ni Husqvarna 268 na 272.
Asanteni wote.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari za Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake wa Watalii wanaoingia Zanzibar na kuanzisha nao uhusiano na hata kuwasababisha kuvunja ndoa zao jambo ambalo...
Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya kirafiki siku hiyo ya kilele Agosti 17, 2024.
Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives...
Wadau zaidi ya 1000 kutokea mataifa takribani 40 hususani ya Afrika wanatarajiwa kukutanishwa Zanzibar na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), April 2025 katika mkutano wa tatu ambao utalenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kufanikisha urahisi wa matibabu yanayohusisha matatizo...
Waziri Kombo akutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Ofisi ya Mambo ya nje - Zanzibar
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), pamoja na Naibu Mawaziri, Cosato Chumi (Mb.), na Dennis Londo (Mb.), wamekutana na kufanya mazungumzo na...
Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili.
Sasa kati ya...
Kwa muda mrefu, hayati Hafidh Ali alikuwa anaonekana kama taswira ya waamuzi bora kuwahi kutokea Zanzibar, akiaminiwa na IFOZA wakati huo na baadaye ZFA na sasa shirikisho la Soka la Zanzibar (ZFF), na hadi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na lile la dunia, FIFA. Hafidh Ali hakuishia kuchezesha...
Katika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano.
1. Masauni (Mambo ya Ndani),
2. Kombo (Mambo ya Nje),
3. Mbarawa (Uchukuzi),
Heshima sana wanajamvi,
Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ambao uliasisiwa na watu wawili ambao sasa hawapo, tena bila ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili sasa unapitia katika msuko suko mkubwa.
Ni wazi Mwl Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume waliziunganisha zao Tanganyika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.