zanzibar

  1. GoldDhahabu

    Huu ndiyo wimbo wa Taifa la Zanzibar

    Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake. Tafadhali anayeyafahamu anisaidie. Asante.
  2. Replica

    Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

    Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...
  3. K

    Je, Zanzibar ni Sauzi?

    Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu. Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari. Baada ya muda kutokana na visa...
  4. E

    Explore Zanzibar with Mayrah

    Greetings mates. My name is Mayrah and I am writing to share with you a 2 days/1 night itinerary for you to visit Zanzibar this summer. This travel plan is only meant for a group of 5 Tanzanian citizens but can be customized to suit any number of people. I have also attached an outline of the...
  5. GENTAMYCINE

    Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  6. Mjanja M1

    Mtaje msanii yeyote wa Hip Hop anayetokea Zanzibar

    Taja!!!!
  7. Stephano Mgendanyi

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
  8. comte

    Sensa ya 2022: Zanzibar wako vizuri kuliko Tanzania bara

    1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+ Tanzania bara= 82.5% Zanzibar= 88.8% 2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao Tanzania bara= 64.5% Zanzibar= 71.3%
  9. J

    Kwanini wanasiasa wa Zanzibar hawanunuliwi, badala yake tunanunuliwa Watanganyika tu?

    Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta. Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari. Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika. Kulikoni Watanganyika?
  10. Ojuolegbha

    Picha: Hemed Abdulla arejea Dar kutoka Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa ameambatana na Mwenza wake Mama Sharifa Omar Khalfan wamerejea Zanzibar wakitokea Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi tarehe 30 Juni, 2024.
  11. D

    Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?

    Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa Tanganyika na Zanzibar. Leo hii viongozi wanaogopa na kuona aibu kutaja Tanganyika ila wazanzibari wanaona fahari kuitaja Zanzibar, wana bendera yao, wimbo wao wa Taifa, wana bunge lao, Rais wao, serikali yao, mahakama zao. Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya...
  12. Suley2019

    Seoul yasaini Mkataba wa Kujenga Bandari ya Uvuvi Zanzibar

    Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar. Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
  13. D

    Zanzibar imetoa wapi mahela yote yale mpaka bajeti imeongezwa mara 2: Samia ametuuza

    Baada ya kifo cha Magufuli Zanzibar imekuwa na mabadiliko makubwa kiuchumi, barabara zumepigwa lami nyingi sana. Hawajaanza kuchimba mafuta, zile pesa wamezitoa wapi? Ji ukweli Samia kuna namna amefanya, pesa zetu inajenga Zanzibar ndio maana wanataka kumwongezea Mwinyi muda wa uongozi. Ni wazi...
  14. GoldDhahabu

    Zanzibar ni nchi ndogo yenye "akili" kubwa

    Namba hazidanganyi! Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam! Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...
  15. GoldDhahabu

    "Wamatumbi" walikosea kuwaondoa Waarabu kwenye usukani wa Zanzibar?

    Kwa muktadha wa huu uzi, Wamatumbi ni watu wenye asili ya bara la Afrika. Wamatumbi wanakiita kile kilichotokea 1963 Zanzibar kuwa ni Mapinduzi tukufu. Sina uhakika kama kweli ni tukufu au ni lugha za kisiasa tu! Kiuhalisia, hayo Mapinduzi yamekuwa na msaada kwa Wazanzibar? Zaidi ya Waafrika...
  16. Magazetini

    Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  17. Roving Journalist

    Shara Amran Khamis achukua fomu kuwania nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar ndani ya Chama cha ADC

    Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na kushika nafasi ya pili nyuma ya Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa Jimbo la Kwahani Unguja (Zanzibar), Shara Amran Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar kupitia Chama cha ADC...
  18. nyamadoke75

    Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

    https://youtu.be/lzqi1c0ZS1M?si=FK6R2UCMqI0h-oSz Mfanya biashara maarufu nchini amelilia waziri Mwinyi kushughulika na genge la matapeli wa mtandaoni wanao tapeli watanzania wa bara na visiwani ambapo hivi karibu aliagiza baiskeli ya mtoto kwa kutoa shilingi laki nne na tisini lakini hajapata...
  19. Wimbo

    Tunawajibika kuijenga Zanzibar

    (MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio mkopo , Lakini Hii mikopo yetu huku HESLB kuna kifungu tena cha Wazanzibar, yaani hiyo fedha ni kwa...
  20. Yesu Anakuja

    Fungu la elimu ya Juu Zanzibar

    MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio mkopo , Lakini Hii mikopo yetu huku HESLB kuna kifungu tena cha Wazanzibar, yaani hiyo fedha ni kwa...
Back
Top Bottom