Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam.
Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo...