zawadi

  1. Setfree

    Anayejua idadi kamili ya nywele zake aniambie nimpe zawadi !!

    Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu. Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average: Blondes: ~150,000 hairs Brunettes: ~110,000 hairs Black hair: ~100,000 hairs Redheads...
  2. The Watchman

    Katibu Tawala Mara asema Mikopo ya serikali sio zawadi rejesheni kwa wakati. Tusisahau mikopo waliopewa wasanii nao warejeshe harakaa

    Wakuu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
  3. GENTAMYCINE

    Kally Ongala tunaokujua tulijua tu kuwa Leo iwe isiwe utawapa Zawadi kutokana na Unazi wako Kwao na Unafiki wako uliopitiliza

    Sasa kwanini usiombe tu Kazi huko Kwao ili tujue moja? Mechi yetu nawe najua utatukazia mno na hata Kushirikiana nao Kuroga / Kuturoga.
  4. yassird200

    Nawaza kumletea mzee nguo kama zawadi ya valentine. Ni sawa au nitakuwa nimekosea?

    Wakuu! Binafsi mimi si mtu wa masuala ya mapenzi hata kwenye siku kama ya leo. Leo nilikuwa na mpango wa kuwatembelea wazee, lakini kwa kuwa ni siku ya upendo, nikaona si vibaya nikichukua chochote kwa ajili yao. Kuhusu huyo mzee, ishu si yeye kama mtu, bali ni mama yake. Sasa nawaza kumletea...
  5. J

    Pre GE2025 Zawadi zinazotolewa na wanasiasa wakati wa Uchaguzi ni Rushwa? Wananchi wanatofautishaje?

    Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi. Je ni rushwa? Wananchi wanatofautishaje? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
  6. T

    Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  7. SAYVILLE

    Hii video ya Zawadi Mauya imenifikirisha saana

    Kuna mahojiano ya Zawadi Mauya baada ya mechi ya Yanga dhidi ya timu yake ya KenGold. Kuna mambo kama matatu hivi yalitokea yamenifikirisha sana. Kwanza, Zawadi alisema KenGold ilijiandaa kutumia wachezaji wake kadhaa lakini ikashindikana kutokana na kwamba wamecheleweshewa vibali. Nimeshangaa...
  8. K

    Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
  9. The Mongolian Savage

    Mwanaume hutakiwi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwenzako

    Inakuwaje wanajamvi. Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa. Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu. Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali. Kuna vitu vingine kwa...
  10. U

    "Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka Mwanawe, wakati wa uhai wake"

    Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
  11. Lord denning

    Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  12. Intelligent businessman

    Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

    Moja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia. Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo...
  13. Mchochezi

    Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
  14. eden kimario

    Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

  15. G

    Ingia 2025 ukifahamu kifo ni zawadi na kuzaliwa ni zawadi. Ishi kwa misingi Bora kulingana na jamii .

    Binadamu kumbuka u mavumbi wewe na mavumbini utarudi, Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hapa duniani ni chache Sana, Ushawahi kukutana na hizo quotes? Ndio mfumu WA maisha ulivo yaani kila kiumbe kinachozaliwa mwishowe hufa, La of nature inatakiwa ikuongoze katika maisha yako ...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dada zetu wakinunuliwa Zawadi na waume zao wanasema Mahaba lakini sisi tukifanya hivyo Kwa wake zetu wanasema tumerogwa!!

    Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa) Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
  18. G

    Mzee wa kichaga kakataa zawadi ya spacio akidai ni magari ya wendawazimu,

    Ndio imeshatokea Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu, Kuna wazee hawana adabu kabisa , Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama chombo cha usafiri? Tuwe tunaangalia zawadi za kuwapa wazee waliojipatia pesa muda mrefu na ujana...
  19. Stephano Mgendanyi

    Wanavijiji Waipokea Zawadi ya Rais Samia kwa Shangwe Tele - Musoma Vijijini

    WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Wanavijiji kutoka Kata hiyo yenye vijiji vinne (Bugwema, Kinyang'erere, Masinono na...
  20. Prof_Adventure_guide

    Habari wana Jamii forum, kuna swali hapa na zawadi itatolewa kwa atakaepata 👇🏾

    In a survey of 100 people, participants were asked to rate their satisfaction level on three different aspects: price, quality, and customer service. The results are as follows: | Aspect | Very Satisfied | Satisfied | Neutral | Dissatisfied | Very Dissatisfied |...
Back
Top Bottom