zelensky

Zelensky is a Slavic masculine surname.
Its Polish version is Żeleński (masculine) or Żeleńska (feminine).
Its Russian version (Russian: Зеленский) is romanized Zelenski, Zelenskii, Zelenskiy, or Zelensky, and originates from the toponym Zelyonoe, meaning “green”; its feminine counterpart is Zelenskaya or Zelenskaia.
Its Ukrainian version (Ukrainian: Зеленський) is romanized Zelenskyi, Zelensky, or Zelenskyy. The feminine (Ukrainian: Зеленська) is Zelenska.
the Lithuanized version is Zelenskis.
Notable people with the surname include:

Aleksei Zelensky (born 1971), Russian luger
Elena Zelenskaya (born 1961), Russian opera soprano
Igor Zelensky, Russian ballet dancer
Isaak Zelensky (1890–1938), Russian politician
Varvara Zelenskaya (born 1972), Russian alpine ski racer
Volodymyr Zelensky (born 1978), Ukrainian politician and incumbent President of Ukraine, formerly a screenwriter, actor and studio director
Władysław Żeleński (disambiguation), multiple people
Żeleński noble family
Count Tadeusz Josef Żeleński
Countess Ewa Theresa Żeleńska Korab-Karpinska
Countess Sarah Elżbieta Philimina Korab-Karpinska Żeleńska Eagan

View More On Wikipedia.org
  1. Trump Asema Anamheshimu Sana Zelensky, ni Kiongozi Jasiri. Haamini Alimwita Dikteta

    Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kukutana na Rais Zelensky wa Ukraine, siku ya leo, ikulu ya Marekani White House. Jana, Rais Trump akisubiria ujio wa Rais Zelensky, alimsifia kiongozi huyo kuwa ni kiongozi jasiri, na kwamba anamheshimu sana. Rais Trump, alipoulizwa kama yupo tayari kumwomba...
  2. S

    Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  3. Trump, anamwambia Zelensky nitakusaidia kuimaliza hii vita kwa makubaliano maalum ya $500 Bilioni

    Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine KYIV — Utawala wa Trump uko karibu kufikia makubaliano na Ukraine kuhusu upatikanaji wa haki za madini zenye thamani ya mamia ya mabilioni ya dola, ikiw ani hatua kubwa kuelekea kumaliza vita vikali vya Russia dhidi ya taifa...
  4. Kazi imeanza Zelensky anataka kutolewa kafara

    Hawa manyang'au wa U.S naona wameshamtumia Zelensky kama pampas sasa wanataka kumtupa. Visingizio vimeanza za kuwinda kuondoshwa Huyu Musk mtandao wake huu amekuwa akiutumia kuchochea tawala kadhaa kuondoshwa Kazi kaianzisha Trump chawa Musk anaunga tela...
  5. Trump amuita Zelensky dikteta

    Trump calls Zelensky a 'dictator' as he hits back at 'disinformation' criticism Watch live Advertisement Summary Donald Trump launches a fresh attack on Ukrainian President Volodymyr Zelensky, calling him a "dictator" and saying he has done a "terrible job" Trump also repeats a claim that...
  6. Trump: comedian Zelensky aliingiza mkenge USA

    Nani amehack account ya Trumpet!?
  7. Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  8. Zelensky: Putin hataki kumaliza vita Kidiplomasia

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Kiev ingependa kukomboa maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kwa njia ya kidiplomasia, lakini Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza mapambano ya kijeshi. Zelensky amesema baada ya uvamizi wa Urusi kuanza, Ukraine ilifanikiwa kukomboa tena zaidi ya 50% ya...
  9. Tetesi: Zelensky amejiandaa kuikimbia Nchi endapo Trump atatangaza kusitisha msaada

    Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya Urusi. Duru.
  10. Hatimaye Zelensky akiri hadharani jeshi lake haliwezi kuyarejesha maeneo yake yaliyokombolewa na urusi

    Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014...
  11. Mission iliyopo kwa sasa ni KGB kumalizana na Zelensky

    Habari, Zamoto baada ya matukio matatu ya magaidi kuua Raia Urusi na jingine kumuua kiongozi mkubwa wa Jeshi basi Rais Putin ameapa na kusema atalipiza kisasi kwanjia yake ambayo itaishtua Dunia ni swala la muda! Habari kutoka Kremlin zinasema Rais Putin aliitisha kikao cha dharula na kuwapa...
  12. Donald Trump: Assad amekimbia nchi. Ni muda wa Putin na Zelensky kuachana na ukichaa unaoendelea; wakae chini wayamalize

    Wakuu, Muda mfupi baada ya kuwepo kwa taarfa kuwa Bashar Al Assad amekimbia nchi na kwenda kusikojulikana, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tamko Trump amesema kuwa moja ya sabu ya Assad kuanguka ni kwa sababu hakupata msaada kutoka kwa Urusi na kuongeza kuwa ni muda muafaka sasa...
  13. Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

    Nasikia NATO wamemshauri Zele akimbilie Poland kujificha kunusuru maisha yake.
  14. U

    Urusi kazima ihisi athari za vita- Zelensky

    Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine. "Urusi ilileta vita katika ardhi yetu na inapaswa kuhisi kile ilichokifanya", Bw Zelensky alisema katika...
  15. Kweli Biden kazeeka, amwita Zelensky President Putin!

    Mzee Biden aachie ngazitu. Jioni hii amemwita Zelensky President Putin. Katika mkutano mkuu wa NATO. Mzee Putin waachie vijana ursis.
  16. Zelensky talks about Ukraine CAPITULATION! Says there are too many wounded and dead. He therefore doesn't want war for years

    Zelensky talks about Ukraine CAPITULATION! Says there are too many wounded and dead; doesn't therefore want war for years JUNE 28, 2024 Volodymyr Zelensky, former President of Ukraine whose term of Office expired on May 21, went on TV yesterday and made clear Ukraine has too many wounded and...
  17. Alichosema Netanyahu ni sawa na anayosema Zelensky na ni kukiri kuwa Israel haiwezi tena kupigana na Hizbullah.

    Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo. Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu...
  18. G

    Ukraine yakumbana na kisiki mpango wake kujiunga na NATO mwaka huu. Zelensky kuambiwa siku ya mkutano

    BBC wameripoti wakinukuu jarida la 'the Teleghraph' kuwa Zelensky atakiwa kutoomba visivyowezekana. My take; Kaomba nini huyu Bwana Mkubwa? Au kachokwa baada ya kuona anashindwa Kuleta natokea chanya ? --- Ukraine no nearer to joining Nato this year, Zelensky to be...
  19. Zelensky: Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake

    Kiongozi wa Ukraine anahimiza ulimwengu kuungana dhidi ya Moscow Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake - Zelensky Vladimir Zelensky wa Ukraine ameitaka jumuiya ya kimataifa kufanya kazi pamoja dhidi ya Urusi, akisisitiza kwamba hakuna taifa linaloweza kunusurika vita na...
  20. DAVOS, Switzerland: Rais wa Ukraine Zelensky akutana na kufanya mazungumzo na Rais Kagame wa Rwanda

    Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…