ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. Album(Nyimbo) Ujio Wa Papa Yohane wa II, Ziara kitume Nchini Tanzania Mwaka 1990

    Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
  2. B

    January Makamba katika ziara ya inayogusa sekta kadhaa nyeti nchini Rwanda

    11 March 2024 Kigali, Rwanda Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma. Ziara ya rais Dr. Samia Hassan mwezi agosti 2021 nchini Rwanda imesaidia nchi hizi mbili jirani kufahamiana...
  3. LGE2024 Ziara ya Waziri Mkuu Musoma Vijijini: Serikali kuendelea kujenga Kiwango cha Lami Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera (KM 92)

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewaeleza wana-Musoma Vijijini kuhusu uamuzi wa Serikali kuendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo vijijini mwao. Waziri Mkuu aliyasema hayo kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika...
  4. Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali kuwasili nchini kwa ziara ya siku tatu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02 Machi, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  5. Mamlaka hali ya hewa, husikeni zaidi kwenye Ziara ya Viongozi wa Juu!!!

    Naona viongozi wanajifanyia fanyia tu Ziara , matokeo yake ,Mikutano mingi ya Viongozi imeenda Kombo kisa MVUA. Au hatuna hakika na tabiri zetu ?
  6. I

    RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko

    Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa...
  7. Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru. Mtatiro ametekeleza wajibu kwa kuzitembelea familia tatu ikiwemo familia ya mtoto Zawadi Mustapha Chiwaulo (miaka 14) ambaye anapaswa kuripoti Shule ya Sekondari...
  8. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati tembelea line ya umeme Mbeya - Chunya, makongorosi kms 150

    Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo: 1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya. 2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka Mbeya hadi makongosi KVA 11 bila sub station. 3. Bado uko ziarani Mbeya bado mgao uko hawakuongopi...
  9. Msiba wa Lowassa, Makonda aahirisha Ziara zake

    Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda ameahirisha ziara yake ya Mikoa 20 Back to Back ili kushiriki msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyefariki jana katika Hospital ya moyo ya JKCI Jijini Dar es salaam. Akizungumza mjini Songea Mkoani Ruvuma Makonda amesema kama...
  10. Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

    Karibu! Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
  11. Ziara za Makonda, malalamiko ya wananchi kutotendewa haki na watumishi, ni kuanzia mwaka 2021 hii maana yake nini?

    Wasalaam Tanzania. Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM. Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
  12. R

    Rais wa Poland kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili tarehe 8-9 February 2024

    Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia tarehe 8-9 February, 2024. Mh. Duja atawasili nchini tarehe 8 February, 2024 akiambatana na mwenza wake Bi. Agata Kornhauser-Duda na atapokelewa...
  13. K

    Ziara za Paulo Makonda Aibu kwa Jeshi la Polisi na Wasimamizi wa Haki na Sheria

    Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake. Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria. Mamia kama si maelfu ya wananchi wanakandamizwa na kuonewa toka ngazi ya mtaa, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa. Wananchi...
  14. Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM. Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea. Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku...
  15. Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya Ziara Kutembelea Reli ya Kati Kujionea Hali ya Uharibifu Morogoro

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu. Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
  16. Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War

    Subscribe Politics Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War Russia has forged ties with Turkey as relations with EU soured Talks with Erdogan expected to focus on energy, war in Ukraine Vladimir Putin Photographer: Gavriil Grigorov/AFP/Getty Images By Selcan...
  17. E

    Nilichokiona kwenye ziara za Paul Makonda

    Ziara za Komredi Makonda, na hasa anapowapambanisha watumishi wa umma na wananchi, zinadhihirisha udhaifu mkubwa wa Chama Cha Mapinduzi.
  18. B

    LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
  19. Ziara ya Samia Mkoani mwanza kugawa zana za uvuvi: Serikali iongeze maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki na kutenga visiwa vya uwekezaji wa kitalii

    Rais Samia atakuwa na ziara mkoani mwanza mwishoni mwa mwezi January 2024. Namshauri atoe maelekezo kwamba yaongezwe maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki ambayo yatakuwa na kinga ya kisheria kwa watu kutofanya uvuvi. Kila mkoa ambao ziwa lipo, kuwe na eneo tengefu la mazalia ya samaki, wavuvi...
  20. J

    Aweso aanza ziara Lindi kwa kutekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu. Agawa pikipiki kwa wanufaika

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anaeendelea na ziara ya kikazi mkoani Lindi katika kukagua na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maji ameanza kwa kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa alioifanya tarehe 08 January 2024 Lindi. Waziri Aweso alianza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…