Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.amefanya uteuzi wa viongozi watatu.
Ambapo katika uteuzi huo ameweza kumpangia kituo cha kazi Suzan Kaganda kwenda Nchini Zimbabwe.
Hi hapa taarifa ya ikulu👎
Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
My Take
Hili liwe funzo Kwa Afrika Kusini maana mtu mweusi hakuna kitu anakiweza zaidi ya uharibifu Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia
https://youtu.be/F9GD9DgC-mM?feature=shared
Soma zaidi hapa Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia...
Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Harare, Zimbabwe kesho tarehe 31 Januari, 2025 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Akiwa nchini...
Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley.
Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha Sheria inayofuta rasmi adhabu ya Kifo ambayo kama ingeendelea kutekelezwa, ingeondoa uhai wa Wafungwa takriban 60 waliohukumiwa adhabu hiyo.
Shirika la Amnesty International limepongeza hatua hiyo na kuielezea kama hatua muhimu katika juhudi za kimataifa...
Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini.
JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI
Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ally Mwinyi amehitimisha ziara yake ya Kikazi nchini Zimbabwe na kuagwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zimbabwe Mhe. Virginia Mabhiza, Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mhe. Hellen Bangawe pamoja na viongozi mbalimbali wa...
Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe.
Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
Wakuu,
Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ).
kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
Sijawahi kufika kwenye hizo nchi, lakini naamini nitafanya hivyo muda si mrefu.Lakini kwa stori za hapa JF, wengi wa wadau wanashauri kutokupita Zimbabwe kwa safari za kwenda Afrika Kusini.
Natamani, katika safari yangu, niende kwa ndege, lakini wakati wa kurudi, nitumie usafiri wa usafiri wa...
Zimbabwe
Alhamisi iliyopita, wezi waliiba dola milioni 4.4 kutoka tawi la benki ya Ecobank huko Bulawayo katika tukio ambalo linadaiwa kuwa wizi mkubwa zaidi wa benki katika historia ya Zimbabwe. Uhalifu huu wa ujasiri umekamata fikra za taifa, na vyombo vya habari vya ndani vimejaa maelezo ya...
Ukiangalia yanayoendelea uganda kupitia mtoto wa museven Muhoozi Kainerugaba ambaye ni CDF ni uwezekano wa uganda kuwa kama zimbabwe kwanini nasema hivi
Majuzi ubalozi wa marekani ulitoa tamko juu ya museven kutaka kugombea tena ikimsihi asigombee tena, mtoto wake Muhoozi Kainerugaba akaibuka...
In 2008, mfumuko wa bei ulifikia viwango vya juu sana, na kusababisha dola ya Zimbabwe kupoteza thamani yake na serikali kuiacha mnamo 2009. Tangu wakati huo, dola ya Marekani na sarafu nyingine za kigeni zimekuwa zikitumika sana katika uchumi.
Juhudi walizofanya wakiamini wataweza...
Starlink’s high-speed, low-latency internet is now available in Zimbabwe!, latest coverage till now!, below ⏬
-Tanzania tunangoja nini?, at the same time, kwa nini haipo South Africa?,
Duke Abuya Vs Prince Dube.
Game On...
33'
Mpira unaendelea kwa kasi sana.
Duke Abuya kiungo anaubonda sana leo
35'
Kenya wanajitahidi kufika kwenye lango la Zimbabwe wanakaa imara pale.
36'
Dube anatoa pasi nzuri inaleta shambulio kali kwenye lango la Kenya.
Inaokolewa, Kenya wamekoswa koswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.