Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the Humanities (RGGU)".
Huko kwenu mna Shahada za kimichongo, ujanja ujanja na speed kali!
Ni wakati wa...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi
China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake.
Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
Tarehe 25 Oktoba ni “Siku ya Kupinga Vikwazo” iliyoanzishwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Katika maadhimisho ya Siku hiyo, viongozi wa nchi nyingi kwa mara nyingine tena wametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Zimbabwe.
China pia imesisitiza kuwa, Marekani...
WHO wameshtushwa na mlipuko wa ugonjwa wa ndui katika nchi ya Zimbabwe hasa kutokana na idadi ya vifi vilivyosababishwa na mlipuko huo. Mamlaka zimeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huo
=====
WHO triggers crisis response to Zimbabwe measles outbreak
Isaac Kaledzi, Deutsche Welle - Yesterday...
Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike
Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
Jeshi la Zimbabwe latia fora baada ya kuamua kushiriki International army games huko Urusi inayohusisha nchi 30 duniani.
Katika mashindano hayo, kikosi bora cha tanks cha Zimbabwe kimeshindwa kulenga shabaha iliyowekwa, mbali ya kuchukua muda mwingi karibu mara mbili ya muda uliotumiwa na timu...
Hali ya maambukizi ya Ugonjwa wa Surua Nchini Zimbabwe inazidi kuwa mbaya baada ya vifo kuongezeka mara mbli ya ilivyokuwa ndani ya wiki moja iliyopita, idadi ya waliofariki imefa Watoto 157, huku kukiwa na maambukizi zaidi ya 2,000.
Waziri wa Afya wa Zimbabwe, Monica Mutsvangwa takwimu hizo ni...
Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai mikusanyiko ya kidini imesababisha kuongezeka kwa maambukizi.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, wizara hiyo katika taarifa imesema kwamba mlipuko huo sasa...
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa ya Zimbabwe imeruhusu uuzwaji wa bangi katika maduka ya dawa ambapo itakuwa zikitumika kama sehemu ya dawa, ambapo pia wauzaji wa rejereja na jumla waohitaji kufanya biashara nje ya Nchi hiyo kuomba kibali Serikalini.
Mkakati huo ni sehemu ya kuongeza pato ikiwa ni...
Ile habari ya kubeba pesa kwenye toroli kwenda kununua mikate inaweza kutupata. Maana wanasema inasababishwa na watu kupoteza imani na pesa. Nini linasababisha hilo? Ishu kama ile inaweza kutokea hapa kwetu?
Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi.
Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
BULAWAYO, ZIMBABWE 1993
Angalia picha hapo chini niko Bulawayo chini ya kibao na nyingine kipo kibao kitupu.
Hiyo ambayo nipo chini ya kibao nilipiga Bulawayo mwaka wa 1993 na hiyo nyingine kapiga ndugu yangu mmoja mwaka huu baada ya kuona picha hiyo ya kwanza.
Kaniambia anataka nirudishe...
Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.
Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria.
Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili.
Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika.
Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei...
Idara ya Operesheni za Amani imesema mlinda amani wa Zimbabwe atapokea Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya mwaka 2021.
Mwangalizi wa Kijeshi Meja Winnet Zharare mwenye umri wa miaka 39, alifanyakazi Bentiu, Sudan Kusini hadi mwaka 2022 na atapokea tuzo hiyo kutoka kwa...
Mkutano wa kilele wa tembo umefunguliwa jana Jumatatu katika mbuga ya wanyamapori ya taifa ya Hwange nchini Zimbabwe, ambapo nchi zinazoshiriki zimetaka kufikia makubaliano kuhusu usimamizi wa tembo na hifadhi ya wanyamapori.
Mkutano huo utakaoendelea hadi Mei 26 utakuwa jukwaa la kujadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.