Taarifa ya Serikali imesema Jengo la Ghorofa 6 lina Ofisi wakati lenye Ghorofa 4 lina Ukumbi wa Vikao vya Bunge na Seneti. Thamani ya majengo yote ni Tsh. Bilioni 250 ambayo yamejengwa kwenye eneo la Mita za Mraba 33,000.
Katika miongo miwili iliyopita, Zimbabwe imekuwa ikiegemea katika Misaada...
Serikali ya Zimbabwe inaendelea na jitihada za kuzuia kuenea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu licha ya kuwa maambukizi yemesamba katika Majimbo 10 huku kukiwa na ongezeko kubwa zaidi katika majimbo ya Kusini-Mashariki ya Masvingo na Manicaland.
Mlipuko wa Kipindupindu umeua zaidi ya watu...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita.
Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
Video ya Kushtua ya Wanajeshi imetolewa ikimuonesha Jonas, wa Kamandi Kuu ya Ideal Zimbabwe, anapinga moja kwa moja serikali ya Zimbabwe na Kuomba msaada wa silaha zaidi katika video yake.
Jonas Alitangaza Mrengo wake mpya wa Kijeshi mwezi uliopita na watu wengi hawakumchukulia kwa uzito...
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili.
Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameandika Ujumbe wa kumpongeza Emmerson Manangangwa kwa Kuchaguliwa Kuwa Rais wa Zimbabwe
Ameandika
"On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) imetangaza kuwa Kiongozi huyo aliyeingia Madarakana mara ya kwanza mwaka 2017 kwa kumpindua Robert Mugabe, ametetea Kiti chake kwa 53% ya Kura zilizopigwa.
(ZEC) imesema mpinzani mkuu wa Mnangagwa, Nelson Chamisa, anayeongoza chama cha Citizens's...
Uchaguzi wa karibuni kwenye mazingira kama yetu, ni huu wa juzi Zimbabwe.
Waangalizi mbali mbali mbali wakiwamo SADC, Carter Center na wengine, wamelazimika kuuita kwa majina yake. Yaani kwa ufupi, wameuona siyo uchaguzi bali ni wizi wa mchana kweupe.
Hapa chini ni sampuli za yale matokeo...
Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura.
EU EOM imeongeza kuwa kulikuwa na ukamataji wa kutumia nguvu wa Waangalizi 39 wa Mashirika ya Kiraia ambao...
Polisi inawashikilia Wanachama 40 wa Muungano wa Upinzani waliokuwa katika kampeni, Mjini Harare, baada ya kudai kuwa Mkazi mmoja aliripoti usumbufu kutoka kwa Wanachama hao waliokuwa wamefunga barabara kuruhusu misafara yao.
Mnamo Mwezi Julai, 2023, Muungano wa Upinzani wa (CCC) uliitaka Tume...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amemzawadia mwenzake wa Zimbabwe helikopta ya Rais, kwa mujibu wa wizara ya habari ya Zimbabwe.
Zawadi hiyo itatolewa hivi karibuni, taarifa hiyo iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii imesema.
Rais Emmerson Mnangagwa anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Urusi na Afrika...
Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 2023.
Zuio hilo linahusu kufanya mkutano katika Mji wa...
Hatua hiyo imefanywa na Bunge la #Zimbabwe lenye idadi kubwa ya Wabunge wa Chama Tawala (Zanu PF) baada ya kukwama takriban miaka 5, ingawa Watetezi wa Haki za Binadamu wameipinga vikali.
Muswada huo uliojadiliwa na kupitishwa kwa siku moja ulianza kutumika kama Sheria tangu mwaka 2018...
Wakati tukiwaza maisha magumu embu tupige magoti tumshukuru Mungu na kuwaombea wenzetu kama zimbabwe, Somalia n.k ambao wanapitia kipindi kigumu cha maisha.Tunalalamika hali ni mbaya ila kuna wenzetu wanataman hata haya maisha tunayoishi sisi.
#HABARI
Zimbabwe imetajwa kuwa nchi yenye hali...
Amegundua TV isiyotumia umeme wa kawaida au solar. Amegundua Generator isiyotumia mafuta. Amegundua Helicopters na Magari ya umeme usio wa kawaida.
Alianza kufanya majaribio ya kisayansi tangu mwaka 1997 ambapo alifanikiwa kuunda vifaa kama transmitter na vifaa vingine ambavyo alivipeleka...
Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu.
Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
Mahakama Nchini Zimbabwe imemtoza Fadzayi Mahere ambaye ni mwanasheria na mwanachama wa Chama cha Wananchi (CCC), faini ya Dola za Marekani 500 (Tsh. Milioni 1.17) baada ya kumkuta na hatia ya kusambaza taarifa zilizotajwa kuwa ni uongo kupitia Twitter.
Mahere alikamatwa miaka miwili iliyopita...
Serikali imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%.
Inamaanisha kuwa bei katika maduka imepanda kwa karibu kiwango sawa na nyongeza ya mishahara.
Ongezeko la mshahara limeanza...
Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama Madini Ghafi badala ya kutengeneza Betri halisi.
Lithium inayofahamika kama Dhahabu Nyeupe hutumika...
Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani.
Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.