zimbabwe

Zimbabwe (), officially the Republic of Zimbabwe, is a landlocked country located in Southern Africa, between the Zambezi and Limpopo Rivers, bordered by South Africa to the south, Botswana to the south-west, Zambia to the north, and Mozambique to the east. The capital and largest city is Harare. The second largest city is Bulawayo. A country of roughly 15 million people, Zimbabwe has 16 official languages, with English, Shona, and Ndebele the most common.
Since the 11th century, present-day Zimbabwe has been the site of several organised states and kingdoms such as the Rozvi and Mthwakazi kingdoms, as well as being a major route for migration and trade. The British South Africa Company of Cecil Rhodes first demarcated the present territory during 1890 when they conquered Mashonaland and later in 1893 Matabeleland after a fierce resistance by Matabele people known as the First Matabele War. Company rule ended in 1923 with the establishment of Southern Rhodesia as a self-governing British colony. In 1965, the conservative white minority government unilaterally declared independence as Rhodesia. The state endured international isolation and a 15-year guerrilla war with black nationalist forces; this culminated in a peace agreement that established universal enfranchisement and de jure sovereignty as Zimbabwe in April 1980. Zimbabwe then joined the Commonwealth of Nations, from which it was suspended in 2002 for breaches of international law by its then-government under Robert Mugabe, and from which it withdrew in December 2003. The sovereign state is a member of the United Nations, the Southern African Development Community (SADC), the African Union (AU), and the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA). It was once known as the "Jewel of Africa" for its great prosperity.Robert Mugabe became Prime Minister of Zimbabwe in 1980, when his ZANU–PF party won the elections following the end of white minority rule; he was the President of Zimbabwe from 1987 until his resignation in 2017. Under Mugabe's authoritarian regime, the state security apparatus dominated the country and was responsible for widespread human rights violations. The country has been in economic decline since the 1990s, experiencing several crashes and hyperinflation along the way.
On 15 November 2017, in the wake of over a year of protests against his government as well as Zimbabwe's rapidly declining economy, Mugabe was placed under house arrest by the country's national army in a coup d'état and eventually resigned six days later. Emmerson Mnangagwa has since served as Zimbabwe's president.

View More On Wikipedia.org
  1. Zimbabwe, 1994: Kwa jinsi wanafunzi walivyokuwa wanasimulia sio rahisi eti walikuwa wamesitiwa kutunga story ya kuona Aliens

    Miaka 30 baadae, nashawishika kuwa wanafunzi wale 62 wa miaka kati ya 6 hadi 12 katika shule iliyopo Zimbabwe waliona vitu ambavyo havikuwa vya dunia hii. Ilikuwa ni asubuhi ya saa nne tarehe 16 mwaka 1994, wanafunzi hawa wakiwa break. Miongoni mwao walisema waliona chombo mfano wa ndege huku...
  2. M

    Anti-ROBBERY , ya polisi Zimbabwe imepata tuhuma za utekaji wa wananchi wa zimbabwe, wachunguzi wameeleza

    Lawama zimeanza kua nyingi kuanzia bulawayo hadi harare, Wachunguzi na watafiti mbalimbali wametupia lawama Kwa polisi wa zimbabwe hasa wa kitengo maalumu cha kuzuia uhalifu Kwa utekaji na utesaji wa wananchi. Rushwa imetajwa pia kua ukikamatwa wakiomba pesa wakanyimwa, au wakakosa utapigwa...
  3. M

    Tiffany ashangazwa na supermarket zimbabwe

    Tazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni h ,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini...
  4. Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

    Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris. Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi...
  5. Msafara wa Zimbabwe kwenda Paris katika Olympics wazua gumzo

    Msafara unasemekana ni mkubwa kuliko ukiwa na maafisa 67 na wachezaji 7 tu! Msafara wenyewe unaongozwa na makamu wa Rais pamoja mke wake! Waafrika weusi akili zetu tunazijua wenyewe.
  6. Wahubiri mabalozi wa Serikali ya Zimbabwe walivyokamata soko la wahubiri vijana wa injili Tanzania

    Anaandika Habibu B. Anga, Sadaka ni sehemu ndogo ya source ya utajiri wao. Kizazi kipya cha wachungaji vijana wana formula mpya kali mno. Tony Kapola (Ubert Angel) -Zimbabwe Clear Malisa (Passion Java) - Zimbabwe Huyu pichani David Richard (Edd Branson) - Zimbabwe Siku moja tujadili what is...
  7. Zambia na Zibambwe wanataka kuamshiana, Urusi yawachonganisha

    Zambia na Zibambwe wameona nao wasipitwe na amsha amsha zinazoendelea duniani kwa leo, wanataka kuliamsha, mchonganishi ni Putin, hii ni baada ya Urusi kuachia video inayomuonyesha rais wa Zimbabwe akipeleka umbea kwa Putin kuihusu Zambia, sijajua Urusi waliachia hiyo video kwa nia gani...
  8. D

    Tanzania is broken and dead beyond repair . By 2025 tutakuwa Zimbabwe

    What is see in the government decisions . I have never seen it in the past 20+ years of. My life . This is probably the most corrupt government and worst government in the world . May be worse than Mexico and more corrupt than Ukraine . I have seen foreign corruption before . Now things are...
  9. Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

    Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
  10. R

    Why are Elections Not Democratic in Africa? Comparisons Comparisons Between the Recent Multi-party Elections in Zimbabwe and Tanzania: soma article

    Why Are Elections Not Democratic in Africa? Comparisons Between the Recent Multi-party Elections in Zimbabwe and Tanzania LIISA LAAKSO University of Helsinki, Finland
  11. Zimbabwe declares state of disaster over drought sweeping across southern Africa

    President Emmerson Mnangagwa of Zimbabwe made the emergency declaration in a speech on Wednesday and called for two billion dollars (£1.6bn) in humanitarian aid. The Rains seems to be below average rainfalls that they experience causing devastated harvests in large part, causing drought that...
  12. Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu. --- Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa...
  13. Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

    Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF . Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...
  14. M

    Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

    Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu. Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni. Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni. Wazimbabwe na...
  15. Wabunge wa Zimbabwe waunga mkono kufutwa kwa adhabu ya Kifo nchini humo

    ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa hukumu za Kifo. Waziri huyo amesema uamuzi huo unatokanana na Maoni ya Wananchi ambapo wengi...
  16. Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe ajiuzulu ndani ya Chama chake, adai kinatumika na Serikali

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema katika taarifa ya kurasa 13 siku ya Alhamisi. Alipata takriban 44% ya kura katika uchaguzi wa rais wa...
  17. Kipindupindu miji ya Lusaka na Zimbabwe

    Miji ya Lusaka na Zimbabwe imekumbwa na tatizo la kipindupindu. Mji wa Lusaka watu wanakufa na kipindupindu kama walivyokuwa wanakufa kipindi cha Corona. Sijui ni mlipuko au ni Uchafu. Wajuzi wa Mambo tuelimisheni
  18. Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  19. Zimbabwe: Ndugu wa Rais Mnangagwa akutwa na hatia ya kutorosha Dhahabu ya Tsh. Milioni 749

    Mfanyabiashara Henrietta Rushwaya, ambaye ni Mpwa wa Rais Emmerson Mnangagwa amekutwa na hatia ya kujaribu kusafirisha Dhahabu yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 749 kinyume na Sheria Henrietta, ambaye ni Rais wa Shirikisho la Wachimba Madini, alikamatwa Uwanja wa Ndege akisafirisha Vipande...
  20. China yaipa Zimbabwe zawadi ya Majengo ya Bunge

    Taarifa ya Serikali imesema Jengo la Ghorofa 6 lina Ofisi wakati lenye Ghorofa 4 lina Ukumbi wa Vikao vya Bunge na Seneti. Thamani ya majengo yote ni Tsh. Bilioni 250 ambayo yamejengwa kwenye eneo la Mita za Mraba 33,000. Katika miongo miwili iliyopita, Zimbabwe imekuwa ikiegemea katika Misaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…