Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.
Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) ameonesha kufurahishwa siyo na kitendo cha Lisu kugombea, Bali kwamba kuna...
Wakuu nahitaji kupata uhalisia wa hii taaria niliyokutana nayo huko mtandao wa X kwamba Zitto Kabwe anahusishwa na utekaji wa Nondo ni upi uhalisia wa taarifa hii?
"Umati huu wa watu ambao mmekusanyika leo(Novemba 29, 2024) uwanja huu wa Kawawa ni ishara dhahiri ya kwamba sisi ndio washindi katika uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa Vijiji na Vitongoji”
“Kama CCM wanaamini kuwa wao ndio washindi waje wathubutu kutujibu mkutano kama huu hapa Kawawa...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali nchini jambo ambalo lilikuwa dalili ya kufanyika kwa ubadhirifu katika chaguzi huo.
Zitto ameyasema hayo...
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi:
- Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine.
- Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani
-...
Wakuu,
Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa
Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani...
Wakuu,
Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa;
"Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi 67, tunamshtaki msimamizi uchaguzi wa manispaa, msimamizi msaidizi wa uchaguzi na aliyewatangaza...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya;
Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi wakamuambia maagizo hayako hivyo, yeye akasema tunatangaza matokeo kwa mujibu wa sheria na siyo maagizo...
Wakuu,
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaoshughulikia changamoto za moja kwa moja katika maeneo yao...
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amewataka watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kuacha kukikumbatia chama cha CCM kwani ni chama ambacho kimeshindwa kuwalinda watendaji wa manispaa na watendaji wa kata hivyo katika uchaguzi wa Novemba 27, wasiingize mguu wao uwanjani...
Zitto Kabwe ameonya vikali dhidi ya yeyote atakayethubutu kubebeshwa kura ya ziada, akisisitiza kwamba matokeo ya kitendo hicho hayapaswi kulaumiwa kwa mtu mwingine, kwani tayari dua imesomwa na wazee wa mji, na kinachotakiwa ni haki pekee.
"Msikubali kudanganywa na CCM kubeba kura ya ziada...
Wakuu,
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka vijana wa Mwandiga, mkoani Kigoma kuhakikisha wanapiga doria katika eneo lao siku ya uchaguzi ili kuzuia mtu yeyote asiyekuwa mkazi wa eneo hilo kupiga kura.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo wananchi wakikipa ridhaa chama chake kuongoza vijiji katika maeneo mbalimbali, wataongoza vijiji hivyo kama watakavyoongoza nchi.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
Wakuu
Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
Wakuu,
Mpaka tar 27 mambo yatakuwa motooo!
====
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya...
Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.