zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Mindyou

    LGE2024 Zitto Kabwe: Tukishinda tutadhibiti ukamataji holela unaofanywa na Jeshi La Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka zile kamata kamata za wapinzani na wafanyabiashara? It seems kama ACT Wazalendo wamekuja na muarubaini wa tatizo hilo Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitapewa mamlaka na wananchi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  2. The Watchman

    LGE2024 Zitto Kabwe: Kuliko ibaki CCM pekee, kapigeni kura za hapana

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kuchagua viongozi wanaowajibika...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Tabora: Zitto aingia kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024 Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Zitto ataka wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa warejeshwe

    Wakuu, Moto unazidi kufuka. ==== "Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo. "Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri ambao wamegombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. HATUTAKUBALI kamwe...
  5. The Watchman

    Zitto Kabwe: Vyama vingi vya siasa vimekufa Tanzania

    "Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa. 1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa oganaizesheni ya chama unapimwa kwa idadi ya wagombea na namna wamesambaa nchini. Idadi ya wagombea...
  6. T

    LGE2024 Zitto Kabwe: Ofisi ya mtaa ni ya Raia wote

    Zitto Kabwe amesema kuwa ofisi ya mtaa ni ya raia wote, baada ya kukuta CCM wamejenga Jiwe la Umoja wa Vijana CCM mbele ya ofisi ya serikali ya mtaa ya Bujimile, kata ya Nyamhongolo huko Ilemela. Zitto amewaagiza viongozi wa ACT wazalendo katika kata hiyo kujenga na wao ngome yao kando ya...
  7. Nehemia Kilave

    Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

    Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito. Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana. Sasa hivi...
  8. Chachu Ombara

    LGE2024 Zitto: Epuka upotoshaji, kura yako moja ina nguvu ya kuleta mabadiliko

    Zitto amewataka Watanzania wote kujiandikisha katika mitaa, vijiji, na vitongoji vyao ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Amesisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika mchakato wa kidemokrasia, akisema kuwa ni haki yao ya kikatiba ambayo...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  10. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Zitto ashauri upinzani kuungana kwenye chaguzi kuing’oa CCM

    Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana. Kutokana na hilo, mbunge huyo wa...
  11. Nehemia Kilave

    Injury to reputation iliyowakuta Dkt. Slaa na Zitto Kabwe mpaka sasa wanaonekana wasaliti wasiofaa nani alaumiwe?

    Zitto kabwe na Dkt. Slaa ni moja kati ya wanasiasa ambao hadhi zao zilipotea kwa sababu ya Propaganda ndani ya CHADEMA ambazo zinaweza kuwa za kweli au uongo. Baada ya kutumia zaidi ya miaka 15 kujenga majina yao kisiasa wanasiasa hawa walijikuta katika migogoro ya kisiasa na CHADEMA...
  12. Roving Journalist

    Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

    Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni. Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
  13. Roving Journalist

    Zitto: Serikali ilipe mabilioni ya Makampuni yanayouza mbolea, yanaishia kula mitaji yao

    Kiongozi wa Chama Mstaafu, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuiwezesha Kampuni ya Taifa ya Mbolea (TFC) kwa mtaji ili kutatua tatizo la ucheleweshaji wa mbolea na uwepo wa mbolea isiyokuwa na ubora na kukabiliana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini. Pia, chama...
  14. Tlaatlaah

    Ni wakati muafaka kwa Zitto Kabwe kujiunga na serikali sikivu ya CCM kwa kazi maalumu ya maendeleo ya Watanzania

    Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi...
  15. N

    Zitto: Mataifa ya Afrika yasiyozingatia masuala ya Demokrasia na Haki za Binadamu yanakimbilia zaidi China

    Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa kuhoji juu ya masuala mbalimbali yanayofungamana na haki za binadamu. "China wanavyosaidia Nchi...
  16. Gemini AI

    Pre GE2025 Zitto Kabwe: Sitagombea Urais 2025, nitarejea kuimarisha Bunge

    Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge. Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na...
  17. M

    Pre GE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema: Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa...
  18. ChoiceVariable

    Zitto Kabwe: Uwanja wa Ndege wa Songwe (Mbeya) Upewe Jina la John Mwakangale Ili Kuenzi Mchango wake Katika Mapambano ya Kudai Uhuru wa Tanganyika

    Anauliza Zitto Kabwe: Kwanini sio John Mwakangale International Airport? === My Take Naunga mkono hoja.Jina la Uwanja wa Ndege wa Songwe (Mbeya) libadilishwe sio tuu Kwa sababu za Kuenzi Mchango wa mzalendo huyo Bali pia kuondoa mkanganyiko wa kutumia jina la Mkoa tofauti na uwanja uliko...
  19. J

    Tundu Lisu asisahau 2010 walimzuia Zitto Kabwe kugombea Cheo cha Kiongozi wa Upinzani Bungeni wakidai hiyo ni Nafasi ya Mwenyekiti. Ule ni Udikteta

    Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi. Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya...
  20. mdukuzi

    Ibrahim Lipumba na Zitto Kabwe wamejipa likizo, wanasubiri 2030 waibuke mafichoni?

    Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri. Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo...
Back
Top Bottom