Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema gari namba T 249 CMV inayotajwa na Jeshi la Polisi kuwa imetumika na Watekaji kumteka Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa ACT, Abdul Nondo, inamilikiwa na Mtu anayeitwa Deogratius Beda Minja.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Dar: Abdul Nondo...
Zitto Kabwe ameonya vikali dhidi ya yeyote atakayethubutu kubebeshwa kura ya ziada, akisisitiza kwamba matokeo ya kitendo hicho hayapaswi kulaumiwa kwa mtu mwingine, kwani tayari dua imesomwa na wazee wa mji, na kinachotakiwa ni haki pekee.
"Msikubali kudanganywa na CCM kubeba kura ya ziada...
Wakuu
Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
Wakuu,
Mnakumbuka zile kamata kamata za wapinzani na wafanyabiashara? It seems kama ACT Wazalendo wamekuja na muarubaini wa tatizo hilo
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitapewa mamlaka na wananchi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana.
Kutokana na hilo, mbunge huyo wa...
Zitto kabwe na Dkt. Slaa ni moja kati ya wanasiasa ambao hadhi zao zilipotea kwa sababu ya Propaganda ndani ya CHADEMA ambazo zinaweza kuwa za kweli au uongo.
Baada ya kutumia zaidi ya miaka 15 kujenga majina yao kisiasa wanasiasa hawa walijikuta katika migogoro ya kisiasa na CHADEMA...
Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni.
Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge.
Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na...
Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri.
Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo...
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi...
MATAYARISHO YA MAULID KWA ZITTO LEO USIKU
Mida hii kuna matayarisho makubwa uwanjani Kwa Zitto Mtaa wa Kionga na Jaribu, Magomeni Mapipa.
Uwanja uliozoeleka kwa chips na berbeque za kila aina umegeuka kuwa uwanja wa Qur'an, kumsalia Mtume SAW na visomo vya kuwaombea maghufira masheikh zetu...
Salaam wakuu.
KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha"
Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote.
Baada ya Tathmini za Muda...
Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye
Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM
1. Petrobas Katambi
2. Lijualikali
3. Silinde
3. Peneza
4. Mashinji
5. Peter Msigwa
Wengine wakasaliti chama waziwazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
Mwanasiasa wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi imefuta Sheria zote za uchaguzi wa zamani na hivyo TAMISEMI imefutwa rasmi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Amesema “Sheria ya Uchaguzi bado haijatungwa, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa uchaguzi wa 2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.