zitto

  1. Replica

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
  2. B

    Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

    Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka: Kwamba: 1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote. 2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha...
  3. I

    Mbowe jifunze haya kwa mwenzako Zitto

    Kutokana na taarifa ya ACT Wazalendo kwa Zitto Kabwe, Mhonga Said Ruhwanya, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, ametoa mfano wa uongozi bora na kutenga mfumo wa ukomavu katika siasa. Hapa kuna vipengele ambavyo Mbowe, kama mwenyekiti wa chama chake, anaweza kujifunza: 1. Kujenga Misingi ya Chama...
  4. S

    Utabiri: Zitto kupewa ubalozi wakati wowote

    Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa. Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda. Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma. Muda utathibitisha.
  5. domokaya

    Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  6. Tajiri wa kusini

    Hauwezi kutaja historia ya Lowassa bila kuitaja Chadema vile vile hauwezi kutaja historia ya Chadema bila kumtaja Zitto Kabwe

    Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa...
  7. Mjanja M1

    Zitto ahofia migogoro ya Ardhi kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe

    "Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea mauaji, vilevile maeneo ya wafugaji tumekutana na malalamiko ya wananchi kuporwa mifugo yao na Maafisa...
  8. Roving Journalist

    Zitto Kabwe anahutubia Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama, Februari 12, 2024

    Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao Mkuu ya Chama, Magomeni Dar es Salaam. Taarifa ya ACT imeeleza kuwa Halmashauri Kuu inafanyika kwa...
  9. Chance ndoto

    Pre GE2025 Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

    Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
  10. S

    Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023. 1. Mwigulu Nchemba 2.Hussein Bashe...
  11. JanguKamaJangu

    Katibu Mkuu wa ACT: Zitto hajang'atuka kwenye Chama, ameheshimu Katiba ya ACT

    Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023. "Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana nafasi katika Siasa za Tanzania, Zitto ametangaza kuiheshimu Katiba ya ACT Wazalendo kwahiyo ni imani...
  12. Leak

    Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  13. Chachu Ombara

    Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  14. Chachu Ombara

    Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

    Zitto Kabwe amesema kuwa ''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
  15. M

    Zitto: Tuliweka mtego tukamrekodi afisa wa TFS Kasulu akipokea rushwa

    Ndg. Zitto kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo akiongea na wananchi wa Kagerankanda, Kasulu vijijini amedai kuwa walimwekea mtego wa rushwa afisa wa Wakala wa Misitu Tanzania Katika msitu wa Makere Kusini ukiitizama mipaka iliyokuwepo mwaka 1956 na hivi sasa pori la akiba limeingia kwenye...
  16. Roving Journalist

    Zitto Kabwe anazungumza na Wananchi wa Kibondo katika Uwanja wa Community Center - Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4 Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo. Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe.
  17. M

    Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
  18. benzemah

    4Rs za Rais Samia gumzo kila kona, Padri Kitima, Askofu Mwamakula, Zitto wakoshwa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs, inajidhihirisha kwa vitendo. Mbalina Padri Kitima, Askofu Emmaus Mwamakula, ameelezea mageuzi ya Miswada ya...
  19. M

    Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
  20. JanguKamaJangu

    Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

    Akijibu maswali katika mahojiano na Edwin Odemba katika Kipindi cha Medani za Siasa ikiwemo suala la kuwa makali yake kisiasa yamekwisha na madai kuwa yeye na Chama chake ni kama CCM B, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema: “(Kuhusu suala la usaliti) Waulize wao, hizo ni propaganda za...
Back
Top Bottom