Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
Poleni kwa msiba wa Benard Membe na William Malchela.
Najiuliza tu na kuwauliza tu kwamba kwanini Zitto Kabwe akitajwa na kusifiwa kwa jambo lolote hawa ndugu wa CHADEMA hukosa raha?
Ni kwa sababu;
(a) Walitegemea atakufa na kupotea kisiasa baada ya njama yao ya kumtimua CHADEMA?
(b) Wanaona...
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.
Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo
Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania...
Zitto katoa kashfa nzito kuvihusu vyombo vya dola kwa kutumika kumchafua Membe ikiwamo mitambo ya vyombo hivyo kutumika kuchapisha magazeti ya kumchafua.
Maoni yangu:
Hii kashfa ni kubwa mno kutolewa na mfanya siasa kama Zitto tena mbele ya Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na ni...
Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu.
Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema!
Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake
Sasa leo tunamkumbusha tuu
Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa.
Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023
Saa 4:00 Asubuhi...
akina nani
amevaa
barakoa
bernard membe
group
hali
hali ya hewa
hata
hewa
ibada
kabwe
lazima
membe
msamaha
msiba
musiba
nani
rais
rais samia
samia
speech
zittozitto kabwe
Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata ushindi wa kishindo ktk mikoa mitano au zaidi.
Sasa swali la kujiuliza ni JE mbali na Kigoma...
Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona...
ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge.
Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.
Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua...
Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya.
Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
Mtu huvuna alichopanda:
Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya.
Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao.
'Ni wazi hili la kikosi kazi lilikwàza watu."
Wanajitokeza vipi watu kwenye shughuli zenu kama pana mambo ya msingi tu mnayo wakwaza...
Leo tarehe 28 Machi 2023, kikao cha wakuu wa vyama wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilifanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kuendeleza mageuzi ya kisiasa nchini.
Katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.