Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu, badala ya kuita wote kwa mkupuo kama ilivyozoeleka?
Yaani mfano, tumeomba kazi mwezi wa 5 mwaka jana, tukaitwa interview mwezi wa kwanza na wa pili, placement ndio inafanyika sasa lakini kwa awamu.
Watu tumefanya usaili siku moja, halafu...
Kuelekea kilele cha kumbukumbu ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo jumatano tarehe 26.04.2023, Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua rasmi zahanati ya Isyonje iliyopo kata ya Isongole.
Pamoja na uzinduzi wa zahanati hiyo pia ameongoza wakazi wa kijiji hicho...
Waaslam wakuu!
Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G.
Wanawake wengi walioko ndoani na wale ambao bado hawajaolewa wamekuwa wakililalamikia Hili suala na kwa kusema...
Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wakati wa zoezi hilo Mkuu wa Wilaya amemshukuru Rais...
Mods Msitoe huu Uzi.
Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi.
Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia
Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga.
Juhudi za Royal...
Awali ya yote wote niwapongeze katika ujenzi wa Taifa, Kuna mdau mmoja ameniuliza kuhusu zoezi Zima mafao Kwa watumishi waliogushi vyeti, Kwani zoezi Zima lilianza tarehe1 mwezi huu, Sasa hwajaeleza mwisho ni lini?
Humu ndani kama kunauelewa Kwan huyo Muhanga yupo mbali bado anashghulikia nauli...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo...
N.G.O inayojihusisha na tafiti itaanzisha kura za maoni/maruhani na matokeo yatakuwa % nyingi zitaonyesha anapendwa. Tayari kiongozi wa hiyo N.G.O. aliyekoswakoswa na m-lakezone alishachukua chake kwa ajili ya zoezi hilo pale ofisi za Gaspiano.
2024 Muajemi atalinunua gazeti maarufu ambalo...
WAZIRI BASHUNGWA ALIPONGEZA JESHI KWA ZOEZI LA DRAGON FLY
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa Mb) amepongeza mafanikio Zoezi la Kamandi ya Jeshi la Anga lijulikanalo kama ‘Dragonfly’ linalofanyika eneo la Mitwero mkoani Lindi.
Ameyasema hayo wakati...
Salaam Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja.
Je, Polisi watachukua hatua yoyote?
Pia soma:
- Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa
- Kada...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu imewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125,280 baada ya kufanyiwa ukaguzi na kugundulika hayajakidhi viwango.
Akizungumza na waandishi wa...
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna...
Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud):
"Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani ya muda uliopangwa wa siku saba. Kuna kaya ambazo makarani wa sensa watazikuta zimefungwa kwani...
Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:
1: Dodoso la Jamii
2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi
3: Dodoso la Makundi Maalum
4: Dodoso la Majengo
1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
Tarehe 23 Agosti ni siku rasmi ya kuanza zoezi la kuhesabu idadi ya Watu waliopo ndani ya mipaka ya nchi yetu. Zoezi hili limeandaliwa kwa umakini mkubwa tena kwa muda mrefu hivyo kutoa nafasi ya kufanya majaribio mbalimbali na kutatua changamoto na hata kuweka utaratibu mzuri wa kuliendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.