Zuhura Othman Soud (born 22 November 1993) best known as Zuchu, Is A Tanzanian Musician, Songwritter and performer signed By Diamond Platnumz music label 'WCB Wasafi' (also known as Wasafi Classic Baby)
Zuchu is the daughter of the Tanzanian legendary taarab musician Khadija Kopa.
Zuchu is undeniably the most promising artist from Tanzania having topping the African chart on different platforms with her debut track "Wana"
She first rose into the music scene in 2015 from the first edition of TECNO OWN THE STAGE in Lagos, Nigeria
Acheni roho mbaya bali semeni ukweli. Kwa Sasa Tanzania na East Africa hatuna msanii wa Maana kama Zuchu, bidada anajua kwa kweli sijui hawa wakina Nandy, Nadia Mukami na wasanii wengine wa kike ambao mnawapa maua ya uongo na ukweli wamepigwa gap sana na Zuchu tena kubwa kuanzia uandishi, sauti...
Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake.
Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu.
Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto .
1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny):
Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi.
Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu...
Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania.
Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza.
Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake.
Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais.
Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake...
Wasanii wana kitu cha kujifunza kutoka kwa Zuchu. Bata kidogo na misaada kidogo.
Wakati akisherekea kutimiza miaka 23 ya kuzaliwa,Zuchu amemtuma chawa baba Levo maeneo ya zanzibar kupeleka kompyuta 5 kwenye shule yake ya zamani zikawasaidie katika uchapaji wa mitihani.
Happy birthday Zuchu.
Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini!
1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba.
2...
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. :
1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.
Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.
Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo...
Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana.
Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida.
Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo.
Amesema hayo nje ya Bunge...
Salaam! Msanii pekee wa kike kutoka wcb amekuwa akitoa mfululizo wa nyimbo ambazo kiutamaduni zinaathiri kizazi chetu cha baadae "honey wangu akinuna namkatia mabuno" imagine watoto wangapi wanaimba hii nyimbo?
Ombi langu kwa Basata msifungie nyimbo zinazokashif mamlaka tu! Camera yenu imulike...
Malkia wa Bongo fleva, Zuhura Othman almaarufu Zuchu kwa mara nyingine amelazimika kujitokeza na kufafanua uhusiano wake na bosi wa WCB, Diamond Platnumz.
Huku gumzo kubwa ambalo linawahusisha yeye, Diamond, Tanasha Donna na Mama Dangote likiendelea, msanii huyo mzaliwa wa Zanzibar ameibuka na...
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi...
Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za...
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.
Hivyo tu.
Harmonize aliondoka kwa Milioni 500
Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500
Zuchu bilioni 5.
Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ?
Is it fair?
Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne.
Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa.
Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.