Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Amen. Naunga mkono watu waliojaaliwa majaaliwa mbalimbali, wakati wengine wanajaaliwa kususia uchaguzi, wengine wanajaaliwa ushindi wa asilimia 99.9%, na kuimiliki serikali za mitaa ambazo ndizo za wananchi, halafu bado watu wanajinasibu, wanataka kwenda ikulu 2020!.View attachment 1286176
Pichani : ni Mh Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati Mh Lazaro Nyalandu wakiingia uwanjani kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika , ambapo ilibidi shughuli hiyo isimame kwa muda kupisha mbinja na vifijo kutoka kwa raia
Funzo : usishindane na aliyejaaliwa , utaumia .
Hiyo siku ya kumbukumbu siku hizi inadhaulika sana, itakuwa siku ya usafi
[/QUOTE
Ni kweli tuliambiwa itakuwa siku ya usafi ghafla inaadhimishwa kwa mbwembwe hawa jamaa ni mabingwa wa kutengeneza kituko halafu kuja kukitatua kwa mbwembwe.
Jamani mbona mazishi na usanii mwingi si siku zote mwasema hakuna TanganyingaHabari wadau! Tukutane hapa kujua yanayojiri leo mwanza kwenye mahadhimisho ya miaka ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika:
Update: Majeshi mbalimbali ya gwaride yanaingia uwanjani.
Updates: Waziri mkuu na rais wa Zanzibar wanaingia uwanjani pamoja na makamu wa rais
Leo nawaona wanajeshi toka China wakiwa jukwaa kuu.
09:15 Rais Magufuli ndio anaingia uwanjani
Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!
Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!
Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
Nimeupenda mnyoosho wa MagufuliDhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!
Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!
Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
Cheyo aliwahi "kupinduliwa" na akina Jidula Mabambasi na akina Dani Makanga kwa vikao wakati yeye hayupo.Cheyo! Inakuwaje serikali huwa haimuoni kwenye kiti kilichoeksipaya? TBS, TMDA, NIMRI mpo! Mbona Mbowe mlimng'ania mpaka Sumaye kang'oka au Cheyo hana sumu.
Mbona kuna live video ameweka?Hakikisha unatupa update Mara kwa Mara uwe active live. Sio unaanzisha Uzi then unakula kona
Haya ni mawazo ya mlevi
Mbona watu wenye akili wote wanasema hivyo including na baba yako anasema kuna siku CCM kitakuwa chama cha upinzani. sasa unaposema maneno ya walevi, unajiaibisha !
Habari wadau! Tukutane hapa kujua yanayojiri leo mwanza kwenye mahadhimisho ya miaka ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika:
Update: Majeshi mbalimbali ya gwaride yanaingia uwanjani.
Updates: Waziri mkuu na rais wa Zanzibar wanaingia uwanjani pamoja na makamu wa rais
Leo nawaona wanajeshi toka China wakiwa jukwaa kuu.
09:15 Rais Magufuli ndio anaingia uwanjani
Please tuwekee angalau kipande (video clip) cha scene hiiView attachment 1286176
Pichani : ni Mh Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati Mh Lazaro Nyalandu wakiingia uwanjani kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika , ambapo ilibidi shughuli hiyo isimame kwa muda kupisha mbinja na vifijo kutoka kwa raia
Funzo : usishindane na aliyejaaliwa , utaumia .
una kiherehere sana lazima uhaririweMbona unahariri maneno kwenye comment yangu Moderator huyu amekuwa akifanya hivi mara kwa mara
Hoja ya kijinga iliyojaa wivu isiyohusiana na kilichoandikwaAmen. Naunga mkono watu waliojaaliwa majaaliwa mbalimbali, wakati wengine wanajaaliwa kususia uchaguzi, wengine wanajaaliwa ushindi wa asilimia 99.9%, na kuimiliki serikali za mitaa ambazo ndizo za wananchi, halafu bado watu wanajinasibu, wanataka kwenda ikulu 2020!.
P.
Mipango inafanyikaPlease tuwekee angalau kipande (video clip) cha scene hii
tatizo jamaa zako wanamiliki 99.99% ya serikali za mitaa ambazo zinaungwa mkono na <38% ya wananchi.Amen. Naunga mkono watu waliojaaliwa majaaliwa mbalimbali, wakati wengine wanajaaliwa kususia uchaguzi, wengine wanajaaliwa ushindi wa asilimia 99.9%, na kuimiliki serikali za mitaa ambazo ndizo za wananchi, halafu bado watu wanajinasibu, wanataka kwenda ikulu 2020!.
P.