1-3, hii ndiyo Simba tunayoijua, au wamejivunja?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo.

Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo,

Kama hawatafanya usajili na kujidanganya kuwa wana timu na kocha, msimu ujao maumivu yao yatakaza,
 
Kwa boli walilocheza Singapore Big boys leo ni wazi Simba hamna kitu, ni debe tupu, hata Ile mechi iliyopita kama si kwa hisani ya El Sasio , Simba wangekula za uso 2 kwa moja. Huwa naamini ukiweka 5 midfielders katikati Simba wanazurura tu uwanjani hawana madhara.

Hakuna kuleta stori za kuikwepa Yanga, ukweli ni kuwa ndipo uwezo wao ulipofikia, refa akichezesha haki bin haki Simba huonesha panapovuja, ni underdog tu wanaobweka wu wu wu, ukisogea wanaweka mkia nyuma na kukimbia!!
 
Hii imedhiilisha madai ya wadau kuwa simba mechi nyingi alizoshinda ni msaada wa marefa na Bodi ya ligi!!. Simba kwenye uwanja sawa na timu pinzani alistahili kuwa nafasi ya 4/5. Amepata matokeo zaidi ya mechi 6 kwa magumashi.
 
Arajiga ametegua kitendawili
 
TFF imeumbuka.
Bado tff haijaumbuka, lengo la TFF ni kuhakikisha Simba inabeba NBC premier league iwe kwa hiyari au kwa lazima na hawatachoka mpaka kombe liingie kabatini Msimbazi.

Hapa ni kwamba uto tumeshikwa pabaya hatuna budi kucheza derby, na imepangwa refa awe El Sasio ahakikishe Yanga inafungwa hata kwa magoli ya mkono, offside au ikibidi kwa penati nne hadi sita. Salama yetu uto ni refa awe Arajiga mwenye begi og ya Fifa na sio zile baadhi ya viazi mbatata zisizo na chembe ya aibu.

Yanga ubingwa ni mgumu sana msimu huu ambao ligi imeoza.
 
Simba huwa inapata matokeo kwenye baadhi ya mechi, kwa msaada wa waamuzi wa mchongo. Isingekuwa hao waamuzi, aisee wangedondosha pointi kwenye mechi nyingi sana.
Mtani hujawahi kunafaika na refa hata siku moja.
 
Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo.

Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo,

Kama hawatafanya usajili na kujidanganya kuwa wana timu na kocha, msimu ujao maumivu yao yatakaza,
Screenshot_20250601-143230_Facebook.jpg
 
Bado tff haijaumbuka, lengo la TFF ni kuhakikisha Simba inabeba NBC premier league iwe kwa hiyari au kwa lazima na hawatachoka mpaka kombe liingie kabatini Msimbazi.

Hapa ni kwamba uto tumeshikwa pabaya hatuna budi kucheza derby, na imepangwa refa awe El Sasio ahakikishe Yanga inafungwa hata kwa magoli ya mkono, offside au ikibidi kwa penati nne hadi sita. Salama yetu uto ni refa awe Arajiga mwenye begi og ya Fifa na sio zile baadhi ya viazi mbatata zisizo na chembe ya aibu.

Yanga ubingwa ni mgumu sana msimu huu ambao ligi imeoza.
Ha
Eewaaaa!!!! Mulemulee
 
Na vipi kuhusu Kepha Kayombo, Japhet Smart, Tatu Malogo, Shomary Lawi na Hery Sasii! Hawa nadhani ni baadhi ya waamuzi wanao ifanya ligi yetu ionekane ni kituko kote duniani.
Kwanini hatujiulizi ni vipi Tanzania haitoi waamuzi kwenye mashindano ya CAF na FIFA. Wachambuzi wetu wanakwepa kuchambua mada zenye tija kama hizo.
 
Back
Top Bottom