Ushiled
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 703
- 1,255
Bado wanajenga timu 🤣Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo.
Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo,
Kama hawatafanya usajili na kujidanganya kuwa wana timu na kocha, msimu ujao maumivu yao yatakaza,