Eti sababu yao kubwa ni wachezaji wamechoka, nyooooooo! Ali Salimu alichoshwa na nini? Duchu, Chasambi, awesu, balua, Mashaka, mavambo, ateba sio wachezaji wa Simba?Bado tunajenga timu! Unajenga timu ya nyoko. Endeleeni kujenga timu mikia.
Arajiga ametegua kitendawiliHii imedhiilisha madai ya wadau kuwa simba mechi nyingi alizoshinda ni msaada wa marefa na Bodi ya ligi!!. Simba kwenye uwanja sawa na timu pinzani alistahili kuwa nafasi ya 4/5. Amepata matokeo zaidi ya mechi 6 kwa magumashi.
Na ni aibu.... Simba amecheze mechi zake zote za ligi huku timu pinzani zikilalalamikia maamzi mabovu ya marefa. Ni aibu kwao bodi ya ligi.Arajiga ametegua kitendawili
Bado tff haijaumbuka, lengo la TFF ni kuhakikisha Simba inabeba NBC premier league iwe kwa hiyari au kwa lazima na hawatachoka mpaka kombe liingie kabatini Msimbazi.TFF imeumbuka.
Mtani hujawahi kunafaika na refa hata siku moja.Simba huwa inapata matokeo kwenye baadhi ya mechi, kwa msaada wa waamuzi wa mchongo. Isingekuwa hao waamuzi, aisee wangedondosha pointi kwenye mechi nyingi sana.
Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo.
Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo,
Kama hawatafanya usajili na kujidanganya kuwa wana timu na kocha, msimu ujao maumivu yao yatakaza,
HaBado tff haijaumbuka, lengo la TFF ni kuhakikisha Simba inabeba NBC premier league iwe kwa hiyari au kwa lazima na hawatachoka mpaka kombe liingie kabatini Msimbazi.
Hapa ni kwamba uto tumeshikwa pabaya hatuna budi kucheza derby, na imepangwa refa awe El Sasio ahakikishe Yanga inafungwa hata kwa magoli ya mkono, offside au ikibidi kwa penati nne hadi sita. Salama yetu uto ni refa awe Arajiga mwenye begi og ya Fifa na sio zile baadhi ya viazi mbatata zisizo na chembe ya aibu.
Yanga ubingwa ni mgumu sana msimu huu ambao ligi imeoza.
Eewaaaa!!!! Mulemulee
Inawezekana iliwahi kutokea. Ila siungi mkono huo upuuzi.Mtani hujawahi kunafaika na refa hata siku moja.
Na vipi kuhusu Kepha Kayombo, Japhet Smart, Tatu Malogo, Shomary Lawi na Hery Sasii! Hawa nadhani ni baadhi ya waamuzi wanao ifanya ligi yetu ionekane ni kituko kote duniani.Arajiga anaharibu ligi.
Kwanini hatujiulizi ni vipi Tanzania haitoi waamuzi kwenye mashindano ya CAF na FIFA. Wachambuzi wetu wanakwepa kuchambua mada zenye tija kama hizo.Na vipi kuhusu Kepha Kayombo, Japhet Smart, Tatu Malogo, Shomary Lawi na Hery Sasii! Hawa nadhani ni baadhi ya waamuzi wanao ifanya ligi yetu ionekane ni kituko kote duniani.