boss nataka kumaliza shida yangu baada ya hapo na lipa kidog kidogo mpaka na malizaKama una dharura basi na kurudisha iwe kidharura pia.
Miezi 6 ?
Riba itakuwa kubwaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
asante, poa basi naomba nikopeshe, nitakupa chochote yani picha, barua na kadhalika ilikuweka mambo sawa na huaminifu pia.Pole sana nenda crdb au nmb, japo miyeyusho mingi, na watakupa baada ya hiyo miezi 6, kiufupi tafuta mtu akukopeshe sio bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukukopesha kaka kwani sikujui, tafuta mtu wa maeneo ya karibu kwa kuwa wanakufahamuasante, poa basi naomba nikopeshe, nitakupa chochote yani picha, barua na kadhalika ilikuweka mambo sawa na huaminifu pia.
Hapo labda upate tu mshkaji akupe hzi taasisi za fedha utazungushwa mpaka basihapana, alafu nashinda na hio hela kabla ya jumamosi niwe nazo
mmmh hio ni unyonyaji okay nataka 1,500,000 nipe taratibu zako na riba yako ila muda nipe wakutosha ili niwe comfortable kukulipa mfano marejesho ya kila mwezi hadi kukulipa hela zoteMkuu hela zipo,tatizo ww umepanga riba na muda...! Riba na muda anapanga mwenye hela...! Hiyo unayotaka,riba ni 750,000/=kwa mwezi. Km upo tayari nipm...!
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa nashuruku kwa mawazo yako, nilijua ni fursa hi kwako sawa nitatafutaSiwezi kukukopesha kaka kwani sikujui, tafuta mtu wa maeneo ya karibu kwa kuwa wanakufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa, ila duration ya mda ukilinganisha na riba ni antagonistichapana mkuu siko hivyo, na si dhani mtu ata nipa pila kua na vivuli vya kutosha na nakala zingine zangu