Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WHAT?Mkuu hela zipo,tatizo ww umepanga riba na muda...! Riba na muda anapanga mwenye hela...! Hiyo unayotaka,riba ni 750,000/=kwa mwezi. Km upo tayari nipm...!
Sent using Jamii Forums mobile app
poa ngoja nifanyie kazi nikikwama nakufamisha]Jaribu kwa hawa watu kaka, Micro Trust Finance Limited. Wapo opposite na kanisa la Kakobe pale Lufungira Mwenge/Mlimani City. Shuka kituo cha magari cha Lufungira upande kama unatoka Ubungo kisha rudi nyuma na service road kuelekea Mlimani City, kuna Flem za maduka nyingi upande wako wa kulia mwisho wa zile frem utaona kuna kizuizi cha kunyanyua na bango lao ingia hapo au uliza utaoneshwa office yao ipo hapo nyuma ya flemu hizo. piga mobile 0755511672 au mezani 0222773218
namba hazipatikani bossJaribu kwa hawa watu kaka, Micro Trust Finance Limited. Wapo opposite na kanisa la Kakobe pale Lufungira Mwenge/Mlimani City. Shuka kituo cha magari cha Lufungira upande kama unatoka Ubungo kisha rudi nyuma na service road kuelekea Mlimani City, kuna Flem za maduka nyingi upande wako wa kulia mwisho wa zile frem utaona kuna kizuizi cha kunyanyua na bango lao ingia hapo au uliza utaoneshwa office yao ipo hapo nyuma ya flemu hizo. piga mobile 0755511672 au mezani 0222773218
Hakuna PM yoyote iloingia. Hebu check vizuri. nakutumia namba ya Mkurugenzi inboxebwana nime ku pm ila hamna jibu.
nime wapata watu wa k-finance wao ni 5%r = [(1,890,000 - 1,500,000)/ 1,500,000 ] x 100%
r = 390,000/ 1,500,000 x 100%
r = 0.26 x 100%
r = 26%
Monthly rate = 26%/6 months
Monthly rate = 4.33% (Simple Interest)
Monthly Deduction
= Tshs1,890,000/6
= Tshs 315,000
...e bhana hii promo umeianzia mbaaaliiiii,nime wapata watu wa k-finance wao ni 5%
so ni 1,950,000/=
325,000/=
Dah,nime wapata watu wa k-finance wao ni 5%
so ni 1,950,000/=
325,000/=
hapa siko kwajili ya promo sifanyani kazi huko hizo reasearch yangu nimefanya nimepata hapo, so nimeshare sidhani kama vibaya, kuna sehemu nilikua nachukua zamani ila kwa sasa siwezi koz nimemkopea rafiki yangu ni EFL wako mapambano so kama napiga promo siwezi kupiga huku na kule. ila nashukuru nimepata pakuanzia kupitia hapaDah,
Ndio nashtukia now kumbe ulikua uzi wa Promo,
wapo utakaowapata lakini