Poole, nenda Platinum credit pale karibu na airtel morocco. Ila riba hiyo siyo kabisa, labda saccoss
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise acha tu, na kuacha hivo wenye hela hizo wengine watakuja humu wanaulizia wadada wa kuspend nao wiki nzima(temporarily), najiuliza hio hela si angekopesha tu ila ndo ivo atakujibu usimpangie maisha yake.Maisha yapo tofauti sana. Mwingine bank ipo Million 3 imekaa tu na hana mpango nayo. Wakati mwingine anawaza kupata million 1.5.[emoji50][emoji377]
Sent by Samson Cyper
Watu wagumu jameniii....No sina
hahaha ebwana una mahesabu makali saana ndo hicho nilikua nataka makato hayo. 😀 simple saanar = [(1,890,000 - 1,500,000)/ 1,500,000 ] x 100%
r = 390,000/ 1,500,000 x 100%
r = 0.26 x 100%
r = 26%
Monthly rate = 26%/6 months
Monthly rate = 4.33% (Simple Compound Interest)
Monthly Deduction
= Tshs1,890,000/6
= Tshs 315,000
ebwana sijaja kutapeli hapa na sina shida ya kutapeli na ni tapeli ili iwaje? acha ushamba usio kua namaana ina maana hapa atatokea mtu kuni kopesha bila collateral yoyote? huo una kua sio mkopo bali kujuana. mimi nimekuja kuomba njia wapi au nani anaweza kunikopesha so kama mtu yupo awezi kukurupuka na kunipa hela lazima ata nipa requirements zake mfano, barua serekali za mtaaa,picha,barua ya kazini,bank statement za miezi kadha,salary slip za miezi kadha, aje nyumbani kwangu kukagua aina ya mali na kadhalika. asa hapo naponaje kama kweli na nia ya kutapeli???????? mie nimeongea kwa shortcut ili kama akipatikana mtu tuanze hizo atu hapo juu au kama ana zingine hatua hapo juu tuingie agreement tuanze kazi. sio kila mtu humu tapelii ni kweli nashinda na hicho kiasi.Ww umezingua utaombaje mkopo bila dhamana ya kitu Mimi nakuchukulia ni bonge LA tapeli ache habari hizo Ww usitufanye watoto humu fyuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
dah asante kwa ushauri wako sehemu zingine kumbe sio? bora nimepata update kwa mwenywe exprience kama wewe duhMtoa mada usijaribu kukopa hela Bayport kamwe. Hao ni zaidi ya wanyonyaji, usithubutu ndugu, ni bora ubaki na shida yako hivyo hivyo kuliko kukopa huko Bayport
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa upo right na hao ndo wanatua haribia wengine mwenye shida ya kweli.Ndo hivyo mkuu,pole sana! Biashara yenyewe ya pesa ngumu sana mkuu,mwingine ukishamkopesha akishindwa kulipa anajidai anajua sheria. Wakati anakuja anakuwa mpole sana. Ndo maana tunajitahidi kuweka masharti ambayo hayatatuletea shida...!! Pole sana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lak mbili kukopesha taratbu zake zikoje.. Cna nyumba wala cha thaman.. Ngekiuza bila kukopa.... Inakuwaje mkuuMkuu Mimi huwa nakopesha km mtu binafsi,sijasajiliwa kufanyabiashara ya pesa km taasisi zingine za fedha. Siwezi kuweka mfumo wa marejesho ya muda mrefu. Me nikikupa pesa ni ya mwezi mmoja na riba ni nusu yake..! Taratibu zetu ukitaka hela kuanzia milioni,dhamana ni pikipiki,gari,nyumba nk. Tunaandikishana,kwa mfano unakopa milioni,kwenye maandishi utasema umekopa kwangu milioni na nusu na utairudisha km ilivyo tarehe......! Utaniachia kadi original au hati ya kiwanja au nyumba. Kwa tunaofahamiana,akipiga hata simu tu,mzigo anaupata..!! Kwa mgeni km ww taratibu zipo hivyo mkuu...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko mkoa ganiNashida na 1,500,000/= tshs narudisha 1,890,000/= tshs kwa miezi sita.
Tuwasiliane: ahmardz@gmail.com
Niko serious na dharura kidogo au mwenywe kujua microfinance yoyote ambayo mtu anaweza nielekeza karibu.
Nakazi nimeajiriwa na mshahara sio chini ya 500,000 yani zaidi nakuendelea.
Million 3 ndogo saana ndg,mm kuna mshikaji wangu namfahamu ana kama million 100 zimekaa tuu hapo bank,ameziweka fixed acc kila baada ya miezi 6 anachukua five milionMaisha yapo tofauti sana. Mwingine bank ipo Million 3 imekaa tu na hana mpango nayo. Wakati mwingine anawaza kupata million 1.5.[emoji50][emoji377]
Sent by Samson Cyper
Hukopesheki mkuu..! Omba kwa watu unaofahamiana nao unaoishi karibu yao. Kwa upande wangu ni ngumu mkuu..!Lak mbili kukopesha taratbu zake zikoje.. Cna nyumba wala cha thaman.. Ngekiuza bila kukopa.... Inakuwaje mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kwa hawa watu kaka, Micro Trust Finance Limited. Wapo opposite na kanisa la Kakobe pale Lufungira Mwenge/Mlimani City. Shuka kituo cha magari cha Lufungira upande kama unatoka Ubungo kisha rudi nyuma na service road kuelekea Mlimani City, kuna Flem za maduka nyingi upande wako wa kulia mwisho wa zile frem utaona kuna kizuizi cha kunyanyua na bango lao ingia hapo au uliza utaoneshwa office yao ipo hapo nyuma ya flemu hizo. piga mobile 0755511672 au mezani 0222773218Dar es salaam
Je, umeshaanza kazi, una mkataba wa kazi, je una muda gani kazini?Dar es salaam