1,500,000/= nashida na kiasi hicho cha fedha kama dharura narudisha ndani ya miezi sita(6)

1,500,000/= nashida na kiasi hicho cha fedha kama dharura narudisha ndani ya miezi sita(6)

mmmh hio ni unyonyaji okay nataka 1,500,000 nipe taratibu zako na riba yako ila muda nipe wakutosha ili niwe comfortable kukulipa mfano marejesho ya kila mwezi hadi kukulipa hela zote
Mkuu Mimi huwa nakopesha km mtu binafsi,sijasajiliwa kufanyabiashara ya pesa km taasisi zingine za fedha. Siwezi kuweka mfumo wa marejesho ya muda mrefu. Me nikikupa pesa ni ya mwezi mmoja na riba ni nusu yake..! Taratibu zetu ukitaka hela kuanzia milioni,dhamana ni pikipiki,gari,nyumba nk. Tunaandikishana,kwa mfano unakopa milioni,kwenye maandishi utasema umekopa kwangu milioni na nusu na utairudisha km ilivyo tarehe......! Utaniachia kadi original au hati ya kiwanja au nyumba. Kwa tunaofahamiana,akipiga hata simu tu,mzigo anaupata..!! Kwa mgeni km ww taratibu zipo hivyo mkuu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
okay asante kwa kuweka wazi yani umenielewesha vizuri, ila kwa wewe inge faa naanza na hela ndogo kadiri tunavyoenda naongeza kidogo kidogo hadi kuaminiana nafikia uko bila masharti magumu. ila kwa sasa na dharura ya kiasi hicho na riba yako iko juu na muda utoi mrefu naelewa hapo
 
najua bob, ila dunia ya sasa watu wamekua ndivyo sivyo hakuna mtu hata ndugu yako wakusaidia kwa kukuazima hela watu wagumu ukimlilia shida ana kutangulizia mambo ya riba so hakuna jinsi ukope umalize shida yako na Mungu anajua anaona jinsi gani una banwa na wanyonyaji kama hao
 
mkubwa tatizo la bank nitambiwa niwe na account na mimi mwajiri wangu awezi kupeleka hela njee ya bank nyinigne zaidi ya exim bank. na nimetaka mkopo kwenye hizi micro finance sio bank. bank mapozi mengi
Mifumo ya bank inawasiliana,crdb watakata hela kutoka kwenye account yako ya exim..we kakope
 
Mifumo ya bank inawasiliana,crdb watakata hela kutoka kwenye account yako ya exim..we kakope
kaka nimesha jaribu hio kitu, standing order sijui ndo wanaita ila wamesema hapa wanachotaka hela ipitie kwao kama mshahara
 
okay asante kwa kuweka wazi yani umenielewesha vizuri, ila kwa wewe inge faa naanza na hela ndogo kadiri tunavyoenda naongeza kidogo kidogo hadi kuaminiana nafikia uko bila masharti magumu. ila kwa sasa na dharura ya kiasi hicho na riba yako iko juu na muda utoi mrefu naelewa hapo
Ndo hivyo mkuu,pole sana! Biashara yenyewe ya pesa ngumu sana mkuu,mwingine ukishamkopesha akishindwa kulipa anajidai anajua sheria. Wakati anakuja anakuwa mpole sana. Ndo maana tunajitahidi kuweka masharti ambayo hayatatuletea shida...!! Pole sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashida na 1,500,000/= tshs narudisha 1,890,000/= tshs kwa miezi sita.

Tuwasiliane: ahmardz@gmail.com

Niko serious na dharura kidogo au mwenywe kujua microfinance yoyote ambayo mtu anaweza nielekeza karibu.

Nakazi nimeajiriwa na mshahara sio chini ya 500,000 yani zaidi nakuendelea.
r = [(1,890,000 - 1,500,000)/ 1,500,000 ] x 100%
r = 390,000/ 1,500,000 x 100%
r = 0.26 x 100%
r = 26%
Monthly rate = 26%/6 months
Monthly rate = 4.33% (Simple Interest)

Monthly Deduction

= Tshs1,890,000/6
= Tshs 315,000
 
Maisha yapo tofauti sana. Mwingine bank ipo Million 3 imekaa tu na hana mpango nayo. Wakati mwingine anawaza kupata million 1.5.[emoji50][emoji377]

Sent by Samson Cyper
 
Back
Top Bottom