$1.6B biggest resort in East and Central Africa in Zanzibar

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Ujenzi wa resort ijulikanayo kama amber resort umeanza kisiwani Zanzibar. Itakuwa na underwater restaurant, private islands pia na villas ndani ya bahari na kiwanja cha ndege. Ujenzi kukamilika 2020. Contractors ni MCC kutoka China. Kiukweli Zanzibar itakuwa kama Dubai ndani ya muda mfupi.
 
Hii itakuwa si mchezo, naona hata mzee Bakhresa kawekeza huko sana
 
Tatizo nyie ni wale wale, hata mrushe rushe mapicha kwenye mitandao mnabaki pale pale maana hata yale mliyo nayo bado hamjatumia.
Inawezekana mkaingizwa kwenye kumbukumbu za UNESCO kama nchi yenye utajiri mwingi lakini maskini wa kutupwa

Mna mlima mrefu Africa, mti mrefu Africa, nimeona sehemu kuwa mna jiwe kubwa Africa, mbuga za wanyama zaidi ya nchi zote Africa, madini ya kila aina, simba anayenyonyesha chui, gesi lakini bado ni maskini wakutupwa
 
Daah ebwana nimeisoma fresh, ila Dah hii kitu si mchezo ile ya baresa ni Mtoto
 
Nafikiri unaelewa tulipo na tunapoelekea it's a matter of time.
 
Mkuu imekuuma sana. Punguza hasira na hii. Huyu ni contractor wakutengeneza golf course hapo amber resort. Kaisha kula contract nae yupo kazini. Taratibu mtatuelewa. Nikiludi nakuongezea nyingine
 
I think these people havent heard about lapsset yet .....anyway until its on the ground hii ni bagamoyo nyingine

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kinachonifadhaisha ni pale mimi huona makaazi ya watu wa Zanzibar. huwa nashindwa kwanini wako na white sandy beaches na hoteli nzuri nzuri kabisa duniani ilhali ni wageni tu wanaojinufaisha pekee. lakini ukiangalia maisha ya mZanzibari, utaishia kusikitika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi naona umebakiza ngonjera! Nahisi hii comment yako huwa unaicopy&paste

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…