Ujenzi wa resort ijulikanayo kama amber resort umeanza kisiwani Zanzibar. Itakuwa na underwater restaurant, private islands pia na villas ndani ya bahari na kiwanja cha ndege. Ujenzi kukamilika 2020. Contractors ni MCC kutoka China. Kiukweli Zanzibar itakuwa kama Dubai ndani ya muda mfupi.