Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Angalia masuala yenu na Al Shabaab haya yetu hayakuhusu na huu utajiri haukuhusu "Pambana na hali yako".Tatizo nyie ni wale wale, hata mrushe rushe mapicha kwenye mitandao mnabaki pale pale maana hata yale mliyo nayo bado hamjatumia.
Inawezekana mkaingizwa kwenye kumbukumbu za UNESCO kama nchi yenye utajiri mwingi lakini maskini wa kutupwa
Mna mlima mrefu Africa, mti mrefu Africa, nimeona sehemu kuwa mna jiwe kubwa Africa, mbuga za wanyama zaidi ya nchi zote Africa, madini ya kila aina, simba anayenyonyesha chui, gesi lakini bado ni maskini wakutupwa
Hiyo sio ya waswahili pekeeWaswahili na golf wapi na wapi
Mkuu japo hii nikubwa kuliko ya bakhresa. Bakhresa kasema akiimaliza fumba anaanza kujenga mji wakibiashara wenye skyscrapers kama Dubai na amedai atashilikiana na real estate companies nyingine kuta Dubai. Natiyali wamesha kuja Zanzibari..Lengo amesema nikuifanya Zanzibar kama Dubai Africa. Pia akimalizia hotel anafanya ujenzi wakisiwa nakushusha skyscraper hapo Zanzibar. Ni noma sana. Hii fumba kasema anaongezea contractors wengine wa tatu ilimradi umalizike baraka. Unaambiwa watu wamesha anza kujitokeza wakitaka kuzinunua nyumba.Daah ebwana nimeisoma fresh, ila Dah hii kitu si mchezo ile ya baresa ni Mtoto
Hii Hotel kaifanyia land reclamation baharini. It is first in East Africa and second in Africa as a reclaimed land in the sea. Hapo anajenga the biggest water park in Africa pamoja na michezo ya majini ya boti na anatengeneza parking yakupaki Yatch 30 kwa mbele. Vifaa vya land reclamation nivyake. Wakimaliza hapo anafanya land reclamation nyingine for a skyscraper. Expert wa hiyo kazi 98% ni Tanzanians. Tanzania tunajenga nchi. Pia hiyo hotel itakuwa na flyover yakuja direct na gari hadi reception. AZAM ni noma sanaDaah ebwana nimeisoma fresh, ila Dah hii kitu si mchezo ile ya baresa ni Mtoto
Kwa sasa unasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa INTENSE PENETRATION.Waswahili na golf wapi na wapi
Nimesha kuwekea ya bakhresa miradi yote miwili hotel na fumba town project in Zanzibar
Tatizo nyie ni wale wale, hata mrushe rushe mapicha kwenye mitandao mnabaki pale pale maana hata yale mliyo nayo bado hamjatumia.
Inawezekana mkaingizwa kwenye kumbukumbu za UNESCO kama nchi yenye utajiri mwingi lakini maskini wa kutupwa
Mna mlima mrefu Africa, mti mrefu Africa, nimeona sehemu kuwa mna jiwe kubwa Africa, mbuga za wanyama zaidi ya nchi zote Africa, madini ya kila aina, simba anayenyonyesha chui, gesi lakini bado ni maskini wakutupwa
Maisha halisi ya Mzanzibar huya jui. That's a stone town. Huo mji hupo chini ya UNESCO majengo ya zamani hairusiwi yabomolewe. Thus why they are many tourists because of its old age architecture.kinachonifadhaisha ni pale mimi huona makaazi ya watu wa Zanzibar. huwa nashindwa kwanini wako na white sandy beaches na hoteli nzuri nzuri kabisa duniani ilhali ni wageni tu wanaojinusha pekee. lakini ukiangalia maisha ya mZanzibari, utaishia kusikitika View attachment 544705
hiyo ni pesa nyingi sana,$1.6 B mbona kidogo sana hapo lazima kimbunga kiondoke na mtu.
hiyo ni pesa nyingi sana,$1.6 B mbona kidogo sana hapo lazima kimbunga kiondoke na mtu.
Atupo kwenye siasa mkuu. Labda kama wewe Mtanganyika lakini sio Mtanzania utaipata
hiyo ni pesa nyingi sana,
linganisha na mfano kuwa kuujenga upya mji wa mosul kule iraq itagharimu dola bilioni 1.3 tu,na mosul umebaki magofu na ni mji mkubwa kweli kweli,
sasa linganisha na hiyo resort inatumia dola bilion 1.6
Dahhh everything is perfect ...at least tutapata sehemu nzuri zaidi yaani Zanzibar itakuwa nzuri maradufu ... Sijui dar itaifanyia nini pwani YAKE maana ni chafu kwa kweli
I wish Tanga iwe the hivyo maana ina mbuga na pwani kwa wakati mmoja plus Amboni caves na bado ipo karibu na Dar , arusha na Kilimanjaro .naona potential kubwa sana kiutalii lakini sijui mamlaka zimelala....
Tanga ina projects zisizokwisha sasa sijui ni kwa sababu ya kuwa industrial zone ...
Ila zanzbar ni hands down
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Samahani siku nyinginezo ujifunze kuheshimu mawazo ya mtu na ujifunze kupinga hoja na SI kuanza personal attacks tena kwa mtu ambaye usiyemjua ...Dar es salaam ni mji mzuri sana nautakuja kufanya maajabu mdasimrefu project kubwa za ujenzi zitapo kamilika. Nachoona unaleta siasa kwenye hii thread. Wewe nimtu wa jukwaa la siasa. Nahisi huko panakufaa zaidi. You can never compare Dar to Zanzibar or any other city in TZ unless wewe chizi mawazo.
Tanga na Dar inahusiana nn na hii project? Kwahiyo kwavile Tanga na Dar hamna project ya namna hiyo waiache hii? Wacha uchoko wewe...Dahhh everything is perfect ...at least tutapata sehemu nzuri zaidi yaani Zanzibar itakuwa nzuri maradufu ... Sijui dar itaifanyia nini pwani YAKE maana ni chafu kwa kweli
I wish Tanga iwe the hivyo maana ina mbuga na pwani kwa wakati mmoja plus Amboni caves na bado ipo karibu na Dar , arusha na Kilimanjaro .naona potential kubwa sana kiutalii lakini sijui mamlaka zimelala....
Tanga ina projects zisizokwisha sasa sijui ni kwa sababu ya kuwa industrial zone ...
Ila zanzbar ni hands down
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app