Tangu lini unona nyang'au anataka mambo kama hayo yatokee kwa jiraniMimi naona mna muattack bure tu, kwa mtazamo wangu yeye hajakosoa huo mradi ila alichokuwa anakitamani ni kuona na fukwe za Tanga na Dar zikiwa na project zenye mfano kama huo wa Zanzibar
unyamaze vip wakati tayari ushatoa povu....buda nini mbaya?.Some tanzanians mmejaa utoto na ignorance....nimeona mmoja wenu hapo juu amecoment eti huu mradi unaipiga LAPSSET, like really?? Nkaona tu ninyamaze.....huu ushabiki wa kijinga muache kama mnataka kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuweke tu sawa, usije kuchanganya tambua hapo ameweka two different massive projects kuna hiyo ya kwanza na hii ya baresa sasa usijekuona zinafanana ukazani ni mradi mmoja, roughly hii miradi yote mpaka ikamilike inacost kama 6 US billionsSome tanzanians mmejaa utoto na ignorance....nimeona mmoja wenu hapo juu amecoment eti huu mradi unaipiga LAPSSET, like really?? Nkaona tu ninyamaze.....huu ushabiki wa kijinga muache kama mnataka kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sana.Nikuweke tu sawa, usije kuchanganya tambua hapo ameweka two different massive projects kuna hiyo ya kwanza na hii ya baresa sasa usijekuona zinafanana ukazani ni mradi mmoja, roughly hii miradi yote mpaka ikamilike inacost kama 6 US billions
Serikali ya sisiemu na magufuli pamoja na mkuu wa mkoa wa dar es salaam awafanyi chochote kuusu fukwe zetu akuna Sera ya kuboresha fukwe dar ilitakiwa fukwe zisogezwe ndani ya bahari kwa mita kama 100 hivi na kumwagwa mchanga mweupe pia fukwe zisafishwe nje na ndani ya maji kisayansi MAGUFULI VIPI ?? USAFI WA FUKWE NA MADHARI ZAKE AU NDO MWISHO WA KUFIKILI AMUONI UMUHIMU WA FUKWE DAR
On papers as GoK has dished out less than $400 mln so far.. Bakhresa alone is spending over 3 times what the GoK has already spent in Lamu.safi sana.
LAPSSET project costs 30B Usd
Inawezekana upo so uninformed,Nilichokifanya ni kutoa comment tu kutokana na nilichokiona kwa fukwe na wala si mji kiujumla hivyo, hakuna hitaji la kuanzisha thread
By the way mimi huwa natoa mawazo yangu kwa sababu hili ni jukwaa huru hivyo, msilazimishe watu kuwa biased kwa milengo ya ku-battle ...
And how much did GOK invest till now?safi sana.
LAPSSET project costs 30B Usd
Maybe upo right kuwa nipo less informed bhasi niambie hiyo miradi ya kuziendeleza fukwe za bahari za dar na Tanga ambazo Mimi kiukweli sijawahi kuzisikia..Inawezekana upo so uninformed,
Uwekezaji unaofanyika Tanga na Dar ni mkubwa zaidi ya huu wa zenji
By the way, comments zako ni irrelevant.
Alafu kumbuka english marina ni ya investor na ile ya bakhresa ni ya mzawa mtanzania kwa asilimia 100ππMonaco ama Bermuda in East Africa..English marina lazma idorore.[emoji85] [emoji23] .
Sent using Jamii Forums mobile app
Where is???? πππππ Maana huo mradi sioni any updates nafkiri ushageuka kua white elephant maana miradi mingi ya kenya hua haichelewi kugeukasafi sana.
LAPSSET project costs 30B Usd
Kwa hiyo?Tatizo nyie ni wale wale, hata mrushe rushe mapicha kwenye mitandao mnabaki pale pale maana hata yale mliyo nayo bado hamjatumia.
Inawezekana mkaingizwa kwenye kumbukumbu za UNESCO kama nchi yenye utajiri mwingi lakini maskini wa kutupwa
Mna mlima mrefu Africa, mti mrefu Africa, nimeona sehemu kuwa mna jiwe kubwa Africa, mbuga za wanyama zaidi ya nchi zote Africa, madini ya kila aina, simba anayenyonyesha chui, gesi lakini bado ni maskini wakutupwa