1 USD ni Tshs 2,304 leo tumeishiwa pumzi!

Wadau,

Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.

Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?

Nini shida?
Tangu Bureau De Change zilivyofunga rate ilikuwa 2282 -2290 (Buying) na 2300 - 2310 (Selling)
Hakuna mabadiliko makubwa yaliyotokea!
Kwenye Mabenki wa rate zao tofauti na hizi.
 
kawaida tu, na bado....ngoja kambi nyingine za marekani ziguswe tena na irani. Kazi itafika 2700
 
Tangu Bureau De Change zilivyofunga rate ilikuwa 2282 -2290 (Buying) na 2300 - 2310 (Selling)
Hakuna mabadiliko makubwa yaliyotokea!
Kwenye Mabenki wa rate zao tofauti na hizi.

Nmb leo ni selling shs 2,314
 
Back
Top Bottom