Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi wa viwonder huo! Mipango chini ya Mpango inatekelezwa kwa pesa ya ndani!Wadau,
Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.
Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?
Nini shida?
Tangu Bureau De Change zilivyofunga rate ilikuwa 2282 -2290 (Buying) na 2300 - 2310 (Selling)Wadau,
Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.
Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?
Nini shida?
Wadau,
Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.
Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?
Nini shida?
kawaida tu, na bado....ngoja kambi nyingine za marekani ziguswe tena na irani. Kazi itafika 2700Wadau,
Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.
Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?
Nini shida?
Na deni la taifa ni himilivu siyo?
Iyo kwa ma agent mkuu.Exchange rate ya mtandaoni ni 2500 fixed
Jr[emoji769]
Exchange rate ya mtandaoni ni 2500 fixed
Jr[emoji769]
ID yako inataka kunitoa chozi!Mshanaa [emoji15]