kkenzki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 1,498
- 2,483
Watu wapo mezani wewe unasema tumeangukia pua? Tulikataa mikataba ya chief Mangungo wa Msovelo tu.Bwagamoyo mliangukia pua kwa uzembe wenu, hamtuwezi kwenye hii michezo, kwa sasa kunjeni mkia mkae pembeni kutizama show.