10 Largest ports in Africa

Bwagamoyo mliangukia pua kwa uzembe wenu, hamtuwezi kwenye hii michezo, kwa sasa kunjeni mkia mkae pembeni kutizama show.
Watu wapo mezani wewe unasema tumeangukia pua? Tulikataa mikataba ya chief Mangungo wa Msovelo tu.
 
GoT ingepata faida ya Bagamoyo port baada ya miaka 99. Na hapo hiyo miaka inaweza kuisha na mchina akakwambia hajarudisha pesa yake hivyo aka extend lease tena( Kwa sababu yeye ndio mdhibiti na muendelezaji wa eneo lote la bandari. Yani anakuwa na full mandatory ya eneo bila kuingiliwa na GoT). Na hapo kwa kipindi chote hicho ni marufuku kwa GoT kuendeleza na kuboresha bandari zake zote za baharini. Sasa wewe ungekuwa ndio mwenye maamuzi ya mwisho kwa GoT ungekubaliana na huo mkataba au ungeuweka kando?
 
Utakua Mhaya aliyekwama hajawahi kutoka nje ya Bukoba, "mahamuzi" ndio nini.....
wewe jamaa utakua ni jaluo la kisumu, yahani hujui hata mahana ya lugha nini? wewe unataka kujifanya mwalimu wa kiswahili, kama ujumbe umekufikia uo ndio msingi wa lugha, hizo sarufi unazozitaka ni mbwembwe. umesikia we mr Odinga
 
Wewe ni mpumbavu mjinga kweli. Wengi wenu mko na fikra kama hizi, zuzu kishenzi, hauna facts, ni vile unatamani Kenya iwe. Akili punguani[emoji23][emoji23]Pole utapona tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huwa atufanyi mahamuzi ya kijinga nishakwambia, sasa tupo tunachimba bahari kuiongezea kina bandari ya Tanga kwa ajili ya kuanza kupokea meli kubwa za mizigo na huu ndio utakua mwisho wa bandari ya mombasa
 
wewe jamaa utakua ni jaluo la kisumu, yahani hujui hata mahana ya lugha nini? wewe unataka kujifanya mwalimu wa kiswahili, kama ujumbe umekufikia uo ndio msingi wa lugha, hizo sarufi unazozitaka ni mbwembwe. umesikia we mr Odinga

"yahani", "mahana".... una safari ndefu ila pambana tu, jaribu kujizoesha kuongea na wazaramo kidogo lafudhi itabadilika.....
 
Hizo ni taarab ulizolishwa ila ongeza na akili zako usipende kushikiliwa ubongo kwenye kila kitu.
 
"yahani", "mahana".... una safari ndefu ila pambana tu, jaribu kujizoesha kuongea na wazaramo kidogo lafudhi itabadilika.....
😂😂 ndio kusema wewe ni mtalaamu wa kiswahili hapo kunyaland?
 
Watu wapo mezani wewe unasema tumeangukia pua? Tulikataa mikataba ya chief Mangungo wa Msovelo tu.

Huyo Mkwere alikua ameona mbali sana na angeivusha Tanzania, leo hii kando na mikwara sioni nini mumeongeza juu ya alichokiacha, SGR mlisema itafanya kazi mwaka jana, mpaka mnaingia kwenye uchaguzi ni ngonjera tu.
Madubwasha yote ambayo huwa mnaringishia humu ni ya Mkwere, nitajie kitu gani kimoja awamu ya tano mumesimamisha kikaonekana na chenye hadhi ya kujadiliwa humu, usisahau hili ni jukwaa la kmataifa hivyo usinitajie chochote uchwara.
Binafsi nahisi mumefaulu kulea chuki tu baina yenu na majirani, yaani kwa kipindi kifupi tumefungiana mipaka mara kadhaa sasa.
 
Hizo ni taarab ulizolishwa ila ongeza na akili zako usipende kushikiliwa ubongo kwenye kila kitu.

Hahah wewe unge-sign mkataba wa hivyo? Na wachina baada ya kuwagomea wameshusha miaka hadi 33 kwa sasa! Na bado GoT imekataa maana haitaki kutoa full mandatory ya eneo la mradi kwa mchina bila kuingiliwa operesheni zake na GoT. Na pia operation za Bagamoyo zisi athiri uendelezwaji wa bandari zingine.

BTW tuko kwenye ujenzi wa bandari mpya sasa wa Pangani. Hivyo Pangani port itakuwa in operation soon. Tunaongeza idadi tu.
 
Wewe ni mpumbavu mjinga kweli. Wengi wenu mko na fikra kama hizi, zuzu kishenzi, hauna facts, ni vile unatamani Kenya iwe. Akili punguani[emoji23][emoji23]Pole utapona tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Naona povu linakutoka kama umemeza kipande cha sabuni, lakini habari ndio hiyo, most of kunyaland ni full slums, huku raia kibao wana utapiamlo kwa kukosa chakula bora mixer balaa la chorela😂😂 poor kenyan
 
Define multidimensional poverty. Ndio hali halisi ya mamilioni Tanzania. Hili liko wazi. In East Africa multidimensional poverty inawatesa raiya wengi wa Tanzania. Umasikini wa kiaina ambao ccm gov't inajaribu kuficha., lilianikwa wazi peupe. Nenda chapa kazi wewe mzembe. Umasikini unakutesa hadi kwenye ubongo, hauna nguvu ya kufikiria. Unahurumisha sana. Pole sana, utapona siku moja.
Naona povu linakutoka kama umemeza kipande cha sabuni, lakini habari ndio hiyo, most of kunyaland ni full slums, huku raia kibao wana utapiamlo kwa kukosa chakula bora mixer balaa la chorela[emoji23][emoji23] poor kenyan
 
2/3 ya ardhi ya Kenya yenye rutuba wazungu toka UK WALICHUKUWA KWA MABAVU KWA KUUA WENYEJI WAKE , MPAKA LEO KENYA ARDHI YOTE ILIYOBAKI IMECHUKULIWA NA VIONGOZI AMBAYO NI 1/3 NYINGINE YOTE NI WAZUNGU. NDO MAANA KENYA WANAEXPORT SANA MATUNDA NA MBOGA MBOGA ZA WAZUNGU KWENDA KWA WAZUNGU WENZAO, CHOKOLAA ANAKULA SUKUMAWEEK TU.
 
Watu wapo mezani wewe unasema tumeangukia pua? Tulikataa mikataba ya chief Mangungo wa Msovelo tu.
Hela ndio shida kwetu Mkuu, tupo nyuma ya Kenya Tena Sana haswa kwa human capital na pia miundo mbinu. Hii bongo yetu labda tushindane na kina Malawi na Burundi.
 
😂😂 naona haujui kitu chochote kuhusu bongoland, bora muendele kulima mirungi tu
 
Hela ndio shida kwetu Mkuu, tupo nyuma ya Kenya Tena Sana haswa kwa human capital na pia miundo mbinu. Hii bongo yetu labda tushindane na kina Malawi na Burundi.
Upo sahihi kabisa mkenya mwenzangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…