hicho ni kiberenge tu mzigo wnyewe ni hatari, hapa Africa ya kwanza itakua moroco then Tz na south wanafata[emoji23][emoji23][emoji23] Amka usikojoe
Hiyo ndio test train yenu kwa hiyo tarajia kichwa kinachokaribia kufanana for operations sanasana freight trains. View attachment 1490164
Endelea Kupiga domo kijiweni. Ukweli unabaki kwamba Tanzania hakuna SGRr..hicho ni kiberenge tu mzigo wnyewe ni hatari, hapa Africa ya kwanza itakua moroco then Tz na south wanafata
Nyie mchina kashawafanya mbaya wala hamna jipya😂😂Endelea Kupiga domo kijiweni. Ukweli unabaki kwamba Tanzania hakuna SGRr..
Meanwhile in Nyangauland. View attachment 1490189
Kijiweni tu ndo haya mambo hutendekaNyie mchina kashawafanya mbaya wala hamna jipya[emoji23][emoji23]
Mtu kama mimi faida ya kazi ya mchina inanisaidia na nini wakati nalipa tax zangu kama kawaidadah sio mbaya kwa kazi hii ya wachina isiyokuwa na faida kwa watu wa kibera Mungu ibaliki Kenya Mungu bariki kibera😥😥😥😥😥
Facts
Dar Port:
i) Current capacity of Dar port is 450,000 teus but is handling about 670,00 teus annually
ii)Current expansion to 600,000 teus will still leave about 80,000 teus excess to handle, so it will still be small.
iii) Infrastructure surrounding the port is underdeveloped leading to inefficiencies bringing total throughput to less than global average.
iv) The clearing time for cargo is 82 hours due to paperwork and red tape.
v) The port is not ranked among the top 10.
vi) The port currently only handles less than 60% of what Mombasa port handles
Mombasa port:
i) Current capacity is 1.25 million teus but is handling 1.425 million teus annually with 7-10% growth annually
ii) Current construction of phase 1 second container terminal will increase capacity by 550,000 teus by end of 2020, phase 2 expansion of second container terminal will increase capacity by 600,000 teus by 2022.
iii) With a well developed surrounding infrastructure sgr, large highways and easy connectivity to the hinterland current throughput of the port is 2.5 million teus annually ie Port capacity is 1.25 million teus annually but can be able to output 2.5 million teus annually because of surrounding infrastructure. Currently 14 cargo trains a day with double stack wagons, trucks have the expanded dongo kundu highway that bypasses mombasa city reducing truck transit time.
iv) Investments in technology have reduced the number of days taken to clear cargo to 24 hours and 100% ex-hook railage has greatly improved turnaround time for mega ships to 1 day.
v) The port is currently ranked among the top 5 ports in africa and by 2022 will actually have a capacity of 2.5 million teus once all expansion is completed.
So Mombasa ni Mara mbili(Twice capacity ya Dar)?Dar 600k TEU'S ,Expansion itakapokamilika ndio uwezo utaongezeka mara 2
sio kila mwalo ambao wavuvi wanaweka mitumbwi na boti kuvulia samaki panaitwa bandari.Bandari zina viwango vyakeSababu ya Tanzania kutokuwepo hapo ni kwakuwa tunatumia bandari nne (Zanzibar, Tanga, Dar na Mtwara) hivyo mizigo inagawanywa baina ya hizo bandari nne.
Capacity ya Dar kwa sasa ni 600,000 Teus ila kwa upanuzi unaoendelea sasa, itakuwa na uwezo wa 1.2m Teus. Ukijumlisha mizigo ya kwenye bandari nyingine tatu Tz inaongoza EA kwa capacity.
Hii kabla ubongolala wangamue itachukua kizazi kizima kiishe na fikra za uongo ndo kingine kizaliwe kikijua bado Kenya iko juuSo Mombasa ni Mara mbili(Twice capacity ya Dar)?
MwanzaHicho kiwanda kinajengwa wap