10 years of Diamond Platnumz

Kaenda kubomoa uwanja mwingine tu hana lolote. Hizi nyimbo za kukanyaga zipigwe marufuku zinatia hasara taifa
 
Ni kweli Mkuu sisi wabongo kinachotusumbua ni wivu wa kipumbavu tu ambao hatupendi tuone mtu flan amefanikiwa.

Jamaa yuko juu na ataendelea kuwa juu tu na kadir watu wanavomuombea mabaya ndo anazid kutusua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hili treni la Diamond limeshafika Dodoma? I can imagine tangu jana watu hawajaoga wala kupiga mswaki, yaani wanakunywa tu pombe na kucheza kibao kata. Eew!

Wewe ni mshamba treni za dilux zinamahala pa choo na kunawa mikono watu wanaweza piga mswaki na kunawa au kufuta jasho acha wivu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe ni mshamba treni za dilux zinamahala pa choo na kunawa mikono watu wanaweza piga mswaki na kunawa au kufuta jasho acha wivu


Sent from my iPhone using JamiiForums


Wewe ni stupid, wengine atuchukulii haya mambo serious, tuko hapa kwa ajili ya sarcasm tu. Acha kuniita mshamba kama unanijua, nyau we.
 
Nakumbuka jana hata Irene Uwoya wakati anahojiwa aliulizwa mbona nguo uliyovaa muda huu ni tofauti na ile uliyopanda nayo akajibu ameenda kuoga akaamua kubadili.
Wewe ni mshamba treni za dilux zinamahala pa choo na kunawa mikono watu wanaweza piga mswaki na kunawa au kufuta jasho acha wivu


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu kubwa ya redio kum-promote msanii kimuziki ilikuwa zmani, sku hizi wimbo kama ni mkali unasogea wenyewe tu mtaani hata kama redio DJ atakuwa haupigi hewani. Zile zama za redio DJ kukupangia playlist zimepitwa na wakati. Siku hizi playlist watu wanazo kwenye smartphone zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…