10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

Diamond amewalipa watu wajazane pale station. Huyu jamaa ananunua mashabiki kama hamtaki mi siwazalimishi
 
Huyu Jamaa Wamwache Tu Kashindikana, Wakiendelea Kushindana Nae Wataumbuka Daily
 
Mimi Huyo diamond na hao clouds fm siyo fan wao so bifu lao huwa sina upande ila huwa nafurahia tu wanavyotaka kushushana!!
 
Diamond akiwa huu ukanda wa afrika hana utofauti na Justin bierber ama Chris brown wakiwa marekani, Super star pekee aliewashinda umaarufu juma nature na MR nice
Kuku kapanda baiskeli,bata kavaa raizoni......mambo ya takeu style, ukiwa na walkman pamoja na biki ya kuzungushia kanda, back in time.........nature ckuwahi kuelewa umaarufu ulitokana na nini hasa.
 
hatari sana
Nguvu kubwa ya redio kum-promote msanii kimuziki ilikuwa zmani, sku hizi wimbo kama ni mkali unasogea wenyewe tu mtaani hata kama redio DJ atakuwa haupigi hewani. Zile zama za redio DJ kukupangia playlist zimepitwa na wakati. Siku hizi playlist watu wanazo kwenye smartphone zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiingilio miguu yako???? Wajanja tungeamini kama wangeingia kwa pesa ila kuingia bure hata angekuwa msaga sumu watu wangejaaa. Hapo walienda wengi kisa free in charge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom