Emmaloy
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 216
- 229
Diamond amewalipa watu wajazane pale station. Huyu jamaa ananunua mashabiki kama hamtaki mi siwazalimishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond amewalipa watu wajazane pale station. Huyu jamaa ananunua mashabiki kama hamtaki mi siwazalimishi
Kwa kiingilio miguu yako???? Wajanja tungeamini kama wangeingia kwa pesa ila kuingia bure hata angekuwa msaga sumu watu wangejaaa. Hapo walienda wengi kisa free in charge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo ya enzi za zama za mawe haya.
Kabisa aisee, nawaza hapa mond mkubwa kuliko twitwa na insta sipati jibuMedia ni neno pana sana...nasubiri mtu wa kudadavua taito ya sredi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wa kurithi...bado sana labda mpaka Mondi atakapokufa.Tanzanian Artist (s)of the decade...
Mwaka 1999-2009..
1. Juma Nature...
Mwaka 2009-2019..
1. Diamond Platnumz ..
2020-2029...?
Hapa ndipo swali lilipo, nani atachukua kijiti kwa platnumz!?, Je,platnumz atafanya the impossible kwa kuendelea kuwa nambari moja katika kipindi cha miaka 10 ijayo?
Kwangu mimi sioni hata dalili maana wanaomkaribia wanataka kufanya kama yeye, endapo atatokea mtu atakayekuja kitofauti zaidi atakuwa na nafasi kubwa ya kupokea kijiti.
View attachment 1308666View attachment 1308672
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, Mondi ni zaidi ya kila kituKwa nguvu anayoionesha Diamond huko mtaani, na namna anavyoungwa mkono na wananchi wa rika mbalimbali kwenye matukio yake na kazi zake.
Tutakosea tukisema Diamond kwa sasa ana nguvu zaidi ya media zinazompiga vita na kufungia kazi zake kwa miaka kadhaa?
View attachment 1307143
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi harmo huwa anatafuta mafanikio au utajiri?
ila umaarufu na hela bwana, we acha tu! hii si hali ya kawaida kwa watu wa mtwara kukaliwa uchi na kijana mbele ya macho yao namna hiyo, tena waislam!!!!!!!!!
kijana anafanya nn na boxa tupu apo au ndio marafik zake na Mshana Jr wanampa ndumba za kumkimbiza yule simba mtu