10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

Tanzanian Artist (s)of the decade...

Mwaka 1999-2009..

1. Juma Nature...

Mwaka 2009-2019..

1. Diamond Platnumz ..

2020-2029...?

Hapa ndipo swali lilipo, nani atachukua kijiti kwa platnumz!?, Je,platnumz atafanya the impossible kwa kuendelea kuwa nambari moja katika kipindi cha miaka 10 ijayo?

Kwangu mimi sioni hata dalili maana wanaomkaribia wanataka kufanya kama yeye, endapo atatokea mtu atakayekuja kitofauti zaidi atakuwa na nafasi kubwa ya kupokea kijiti.

howwe_2968d8c32debbaa1810a97b56a56f10b_1498154182.jpeg
2017-09-06-08.36.28-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kutokana na ukweli wa ulichokisema katika aya ya mwisho, kuna uwezekana akaendelea kubaki yeye katika kipindi hicho.....konde boy ni mtunzi na mwanamuziki mzuri lkn anamuiga mond mpaka namna ya kucheka, achilia mbali kuimba. wanaochipukia ndo hivyo, hawapati nafasi kabisa ya kusikika...kila wanavyojitahidi. maredio na TVs ziko busy kuwasikiliza mond na kiba huku mitandao ya kijamii km JF ikiwa busy kumpaisha mond na kwa kila namna na kumshusha alikiba kwa juhudi zote (alianza tour yake...tayari zimeshaanzishwa zingine na manenomaneno na vijembe juu utafikiri alikuwa anashindana na mtu.....anayefuata lazima ajiandae vema zaidi, huo ndo ukweli).
 
Tanzanian Artist (s)of the decade...

Mwaka 1999-2009..

1. Juma Nature...

Mwaka 2009-2019..

1. Diamond Platnumz ..

2020-2029...?

Hapa ndipo swali lilipo, nani atachukua kijiti kwa platnumz!?, Je,platnumz atafanya the impossible kwa kuendelea kuwa nambari moja katika kipindi cha miaka 10 ijayo?

Kwangu mimi sioni hata dalili maana wanaomkaribia wanataka kufanya kama yeye, endapo atatokea mtu atakayekuja kitofauti zaidi atakuwa na nafasi kubwa ya kupokea kijiti.

View attachment 1308666View attachment 1308672

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wa kurithi...bado sana labda mpaka Mondi atakapokufa.
Angalia hii kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom