Jamaa nilimsahau ni noma,"huwezi kufika juu pasipo kutokea chini"Aliefunika mpaka Sasa kwangu Mimi Ni Chuma Kutoka Mbeya mzee wa "Njoo umuone X Nyumba inabomolewa"
Ingia YouTube msearch utakuja kuniambia.
Anaefuatia kwangu Ni Nyenza EMCeE .. Huyu Ni rapa ambae bongo hajawahi kutokea .. Ndio msanii pekee kwenye kumi za maangamizi alichana dakika 10 non stop bila kuweka Zile yo yo yo ... JAMAA ALICHANA DAKIKA ZOTE 10 BILA KUWEKA KITUO
SO hao ndio wakali wangu ...
Kwasasa Nyenza EMCeE ametoa track inaitwa "unanini wewe"
Kweli mzeeJamaa nilimsahau ni noma,"huwezi kufika juu pasipo kutokea chini"
Mkuu halafu hapo dk 10 non stop mtafute huyo cado kitengo msikilize
Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube .Hii ni list yangu ya waliotisha.
1.Cado Kitendo.
2.Hidary Scoda
3.Chid Benz
4.Boshoo Ninja
5.Maarifa The Big Thinker
Kama umefuatilia hiki kipindi sijui Nani umemkubali
Braza big up kweli mziki unaujua... Maoni yako ndio yangu...Aliefunika mpaka Sasa kwangu Mimi Ni Chuma Kutoka Mbeya mzee wa "Njoo umuone X Nyumba inabomolewa"
Ingia YouTube msearch utakuja kuniambia.
Anaefuatia kwangu Ni Nyenza EMCeE .. Huyu Ni rapa ambae bongo hajawahi kutokea .. Ndio msanii pekee kwenye kumi za maangamizi alichana dakika 10 non stop bila kuweka Zile yo yo yo ... JAMAA ALICHANA DAKIKA ZOTE 10 BILA KUWEKA KITUO
SO hao ndio wakali wangu ...
Kwasasa Nyenza EMCeE ametoa track inaitwa "unanini wewe"
kabisa mkuu huyu jamaa alitisha sana, kuna verse moja kaimba. Usikae mbele yangu nitahisi kwa nyuma joto/Aliefunika mpaka Sasa kwangu Mimi Ni Chuma Kutoka Mbeya mzee wa "Njoo umuone X Nyumba inabomolewa"
Moja ya mistari yakeJamaa nilimsahau ni noma,"huwezi kufika juu pasipo kutokea chini"
Mkuu halafu hapo dk 10 non stop mtafute huyo cado kitengo msikilize
Boshoo anakuambiatanga boy
boshoo ninja
Hata maarifa humjui alotoa nyimbo na madee siku chache zilizopita?Kwenye hiyo list namjua tuu chid benz.
Itakuwa namkubali huyo huyo.
Yap huyu jamaa alitisha, japo ukiskiza nyimbo zake zinaonekana za kawaida sanaChuma Mbeya boy
Binafsi namkubali sana dizasta ila kwenye dakika kumi alizingua alipotezwa na mbeya boy, list yako imekaa kibabe siona wakumtoaDizaster vina
Nyenza
Wa kiafrika
Boshoo
Nikiwa bar mimi ndio boss yule mupe, yule muluke/Boshoo ninja yule mwamba ni noma...
Disaster vina Sina wa kumlinganisha nae. Jamaa ndio alinifanya nianze kufuatilia 10 za maangamizi. huyu panorama Ni shiida anajua Sana. Kanisa nje msafi ndani mchafu kwahiyo tusinyoosheane kidole.Dizaster vina
Nyenza
Wa kiafrika
Boshoo