10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube .Hii ni list yangu ya waliotisha.
1.Cado Kitendo.
2.Hidary Scoda
3.Chid Benz
4.Boshoo Ninja
5.Maarifa The Big Thinker

Kama umefuatilia hiki kipindi sijui Nani umemkubali

MAWAZO YA WADAU WA HIP HOP KWENYE COMENTS
1 .Nyenza
2.Boshoo Tanga boy.
3.Mbeya boy Chuma
 
Aliefunika mpaka Sasa kwangu Mimi Ni Chuma Kutoka Mbeya mzee wa "Njoo umuone X Nyumba inabomolewa"

Ingia YouTube msearch utakuja kuniambia.

Anaefuatia kwangu Ni Nyenza EMCeE .. Huyu Ni rapa ambae bongo hajawahi kutokea .. Ndio msanii pekee kwenye kumi za maangamizi alichana dakika 10 non stop bila kuweka Zile yo yo yo ... JAMAA ALICHANA DAKIKA ZOTE 10 BILA KUWEKA KITUO

SO hao ndio wakali wangu ...

Kwasasa Nyenza EMCeE ametoa track inaitwa "unanini wewe"
 
Jamaa nilimsahau ni noma,"huwezi kufika juu pasipo kutokea chini"
Mkuu halafu hapo dk 10 non stop mtafute huyo cado kitengo msikilize
 
Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube .Hii ni list yangu ya waliotisha.
1.Cado Kitendo.
2.Hidary Scoda
3.Chid Benz
4.Boshoo Ninja
5.Maarifa The Big Thinker

Kama umefuatilia hiki kipindi sijui Nani umemkubali

Kwenye hiyo list namjua tuu chid benz.
Itakuwa namkubali huyo huyo.
 
Aliefunika mpaka Sasa kwangu Mimi Ni Chuma Kutoka Mbeya mzee wa "Njoo umuone X Nyumba inabomolewa"

Ingia YouTube msearch utakuja kuniambia.

Anaefuatia kwangu Ni Nyenza EMCeE .. Huyu Ni rapa ambae bongo hajawahi kutokea .. Ndio msanii pekee kwenye kumi za maangamizi alichana dakika 10 non stop bila kuweka Zile yo yo yo ... JAMAA ALICHANA DAKIKA ZOTE 10 BILA KUWEKA KITUO

SO hao ndio wakali wangu ...

Kwasasa Nyenza EMCeE ametoa track inaitwa "unanini wewe"
Braza big up kweli mziki unaujua... Maoni yako ndio yangu...
Nyenza anajua saana na huyo mbeya boy chuma..

Hapo muongeze dogo maarifa tu.

Yuile nyenza kwanza ni mtulivu saana..
"Maslah ya mlalaji huwa ni kukung'uta jamvi"
 
Aliefunika mpaka Sasa kwangu Mimi Ni Chuma Kutoka Mbeya mzee wa "Njoo umuone X Nyumba inabomolewa"
kabisa mkuu huyu jamaa alitisha sana, kuna verse moja kaimba. Usikae mbele yangu nitahisi kwa nyuma joto/
Ukicheki yupo nani ni mimi na juma nyoso/

Ingia YouTube msearch utakuja kuniambia.

Anaefuatia kwangu Ni Nyenza EMCeE .. Huyu Ni rapa ambae bongo hajawahi kutokea .. Ndio msanii pekee kwenye kumi za maangamizi alichana dakika 10 non stop bila kuweka Zile yo yo yo ... JAMAA ALICHANA DAKIKA ZOTE 10 BILA KUWEKA KITUO [/QUOTE]
Absolute, binafsi nilishangazwa sana na huyu jamaa

SO hao ndio wakali wangu ...

Kwasasa Nyenza EMCeE ametoa track inaitwa "unanini wewe"[/QUOTE]

Duuh nimeikubali research yako na imebeba ukweli halisi. salute sanaaa
 
Jamaa nilimsahau ni noma,"huwezi kufika juu pasipo kutokea chini"
Mkuu halafu hapo dk 10 non stop mtafute huyo cado kitengo msikilize
Moja ya mistari yake

Unaenichukia round hii utanipenda/
Nikishakutumia inamaana hufai nenda/
 
Dizaster vina
Nyenza
Wa kiafrika
Boshoo
Binafsi namkubali sana dizasta ila kwenye dakika kumi alizingua alipotezwa na mbeya boy, list yako imekaa kibabe siona wakumtoa

Hapo naongeza

Kinya

Bando mc

Matrix
 
Boshoo ninja yule mwamba ni noma...
Nikiwa bar mimi ndio boss yule mupe, yule muluke/
Nyie matozi mmepandisha bei ndala nyeupe?/

Eti bongo bahati mbaya halafu unavaa unapendeza/
Bongo kama ulaya uchawi uwe na fedha/
 
Nyenza mc

Nchama the best

Boshoo ninja

Mbeya boy chuma(alizingua kiaina lugha ya matusi ilitawala sana)

Dizasta Vina

Note:sio freestyle kwa dakika 10 ila uchane kadri unavyoweza kwa dakika 10, aliyefanya freestyle kweli ni Nchama peke yake wengine walikua wanachana nyimbo ambazo wameziandika ila kutokana na kutosikika kwao unaweza dhani ni freestyle, mfano Dizasta vina alichana ngoma ya kanisa, wakati ni nyimbo ya kitambo tu na watu wengi walidhani ni freestle.Ila hongera kwa hao watu maana kuchana dakika 10 sio kazi ndogo, ukitaka kujua hilo tafuta dakika 10 za Young D maana aliboa mpaka basi akaomba tena mwenyewe arudi, hapo akaja kajipanga lkn wapi akadondokea pua raia walimaind sana MB zao[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom