10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

1. Cado kitengo
2. Nyenza.

Kuna wengine wanaenda vyema kama Maarifa na Chuma, tatizo hawana mistari mipya, hawawezi freestyle, wao kila siku, kila platform wanarudia rudia mistari ileile mpaka unachosha kusikiliza.

Cado nilianza kumpa marks kwenye City Rap Battle, kila siku anashusha vitu vipya.
 
Boshoo anakuambia

Kicheche unayenitaka njoo/
Mimba ntakupa ila pesa hulambi ng'o/
Bishoo:
Nay akifa ataacha mitego na sio pendo/
Nihatari/
Vicheche wana shauku na mimi/
na mi naogopa umeme/
luku bei ghali mjini/
eti wanajifanya tester/
wananipima moto/
 
Mkuu nilichoona watu humu hawamjui cado Kitengo,wanaenda na nyimbo wamezitunga ,hao wote Kwa freestyle wanakaaa chini Kwa Cado kitengo,angalia tu freestyle battle zake YouTube hatungi
Yule jamaa weka mbali na watoto, Cado ni balaa jingine kabisa. Bahati mbaya ndio hivi watu hawamfahamu. Na raha ya rap ni freestyle sasa hao wengine wanachana nyimbo zao ambazo wala hazivutii kuzisikiliza kwenye beats tofauti.
 
RAF MC,Chalii ya Ara aliua kinyama na flow zake za usinishike,,Kwangu ndo moja,,then Chuma Mbeya boy
 
Mkuu sijawahi kumsikiliza nitamcheki sasa hivi,halafu poa cheki youtube chugga beat murder channel ya freestyle ya chuga naona wanajitajidi pia
RAF MC,Chalii ya Ara aliua kinyama na flow zake za usinishike,,Kwangu ndo moja,,then Chuma Mbeya boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom